Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Karibu wote wanacheza USA college na wengine wamegusa NBA
Bongo waendelee kukataa dual citizenship. Nigeria wana hadi team ya kucheza kwenye ice ila Nigeria snow haijawahi kushuka hata siku moja. Players wote wanatoka mbele.