Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Ni sawaAlanah kwahio sio South Sudan hawa?
Niwasudan ila haisisimui kama wangekua homegrown
Ni kama Taifa stars wajae ma diaspora first 11 mchukue world cup
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni sawaAlanah kwahio sio South Sudan hawa?
Ila kwa inavoonekana SS kipindi cha pili wataachia tuWanakimbizwa hadi hawaamini kinachotokea.
South Sudan wanajua kikapu,kwa Africa na Algeria, Angola,na ule urefu wamarekani kazi wanayoLabda warefu sana.
AhhhHawa ni home grown. Product ya project ya Luol Deng. Wengi wamefika USA kwasababu ya uwezo wao.