Ya Serbia ndio nimeikuta mwishoni kwenye overtime, Jokic kawabeba
Sharicka Jackson injured...
Serbia wazuri sanaAustralia waliongoza kwa 24pts wazembe sana jamaa
France anapigwa, Canada ni wazuri sanaInakuja game France vs Canada baadae USA vs Brazil
France anapigwa, Canada ni wazuri sana
Kuna gilgous alex yule dogo wa OKC anajua hadi basi
Nilisikia hiyo habari jana wakati wa semi's...
Nikasema hii ni habari nzuri kwa Gabbi na Julian
Gabby Thomas destroyed Julia Alfred
Acha kabisa aisee, sijaaminiCanada kaliwa 🤣🤣🤣
Brazil hii quarter atashindaSasa hivi Brazil ananyooshwa na USA