Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Nimecheck aisee...

Bet yangu ilikuwa kwa Kishane kwa sababu Noah hajawahi kimbia sub 9.80 sec...

Leo kwa mara ya kwanza Noah kakaza na kufika 9.78 sec, his lowest time ever in 100m race...
Sharicka Jackson injured...
 
Ya Serbia ndio nimeikuta mwishoni kwenye overtime, Jokic kawabeba

Greece, France na Brazil kuwa kwenye hii stage alafu SSD wametolewa naona hata basket haipo fair kabisa
Australia waliongoza kwa 24pts wazembe sana jamaa
 
Back
Top Bottom