Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

KD anataka record 4th gold in olympic basketball
 
Hata mashindano ya ngalawa hatuwezi wakati kisiwani Ukerewe watu wanapiga kasia kutoka kisiwa kimoja hadi kingine
Kazi sana unasikia wizara imepewa billion 288 na bado hata kujenga pool ya kawaida au lane ya baskel hawafanyi
 
Hii mbio ya maji US kakaza sana nadhani anataka kupunguza gape ya gold dhidi ya China
 
100m semis...Noah Lyles on the track now

Nimecheck aisee...

Bet yangu ilikuwa kwa Kishane kwa sababu Noah hajawahi kimbia sub 9.80 sec...

Leo kwa mara ya kwanza Noah kakaza na kufika 9.78 sec, his lowest time ever in 100m race...
 
Nimecheck aisee...

Bet yangu ilikuwa kwa Kishane kwa sababu Noah hajawahi kimbia sub 9.80 sec...

Leo kwa mara ya kwanza Noah kakaza na kufika 9.78 sec, his lowest time ever in 100m race...
Yeah ni kweli. Ila Noah aki work kwenye starring yake anaweza kupiga 7.63 ya Bolt. Huwa anaanza vibaya.
Ila Bolt nae alikuwa anaanza vibaya na bado kaweka record.
 
Back
Top Bottom