Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Mwenyewe nilikuwa upande huo, ndio ninahamia huku kwenye basketball ninakuta 3rd quarter inamalizikia

Huwa napenda sana kutazama wafukuza upepo, na leo nilikuwa nataka kuona Julien Alfred vs Sherry-Ann Pryce finals za 100m, lakini bahati mbaya hii battle haijatokea...
 
Alfred nilikuwa sijawahi kumuona dadekii. Kamkalosha Sha'cari kama kasimama
 
Wanajifunga wenyewe au huyu kocha ana sabotage?
 
Back
Top Bottom