Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo ndilo linalowaumiza, kwasababu wanakosa utilivuKocha anawalazimisha wacheze na fast pace
Mwenyewe nilikuwa upande huo, ndio ninahamia huku kwenye basketball ninakuta 3rd quarter inamalizikia
Alfred nilikuwa sijawahi kumuona dadekii. Kamkalosha Sha'cari kama kasimamaHuwa napenda sana kutazama wafukuza upepo, na leo nilikuwa nataka kuona Julien Alfred vs Sherry-Ann Pryce finals za 100m, lakini bahati mbaya hii battle haijatokea...
Wanalazimisha sana 3 pointsTurn over lundo 😥
Ile game na US walicheza vizuri tu, hii sijui imekuajeWamefungwa kijinga sana leo.
Sana na bahati mbaya hawako kwenye bahati hiyo kwa Leo asa mbio imeishaWanalazimisha sana 3 points
Sana Wanacheza kama watu wasio na uzoefu hata kidogoWamefungwa kijinga sana leo.