Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spain tumetolewa kwa pointa difference, lakini si uliona Canada jasho lilimtokaChama lako Spain watu wanajipigia tu 🤣🤣🤣
Kazi sana unasikia wizara imepewa billion 288 na bado hata kujenga pool ya kawaida au lane ya baskel hawafanyiHata mashindano ya ngalawa hatuwezi wakati kisiwani Ukerewe watu wanapiga kasia kutoka kisiwa kimoja hadi kingine
Julien ama balaa sana yule Mwanadada., atatawala sana mbio fupi, acha tumsubiri 200m hapo kesho.
Sema hii nchi yetu hivi tumekosa chochote Cha kugombea kwenye hii Olympic maana hadi kutembea ipo
Kwa haya nayoyaona Olympic na project za JK youth za kina mgunda na team za Oscar Milambo na Ninje si michezo baaaaado tena bado kabisaTungewapeleka wamasai sio kwenye kutembea 😃😃
Ile game na Canada walifanya uzembe kidogo sana tena sekunde za mwisho, Ila Canada alikua kishapigwaSpain wamedrop kiwango sana
Wamepewa BrazilNa US wana hasira kweli
😂😂😂😂😂😂😂Sema hii nchi yetu hivi tumekosa chochote Cha kugombea kwenye hii Olympic maana hadi kutembea ipo
Wangeweka shindano la kula tunda kimasihara hapo ungeona vijana wengi sana kwa game 😂😂😂Sema hii nchi yetu hivi tumekosa chochote Cha kugombea kwenye hii Olympic maana hadi kutembea ipo
100m semis...Noah Lyles on the track now
Yeah ni kweli. Ila Noah aki work kwenye starring yake anaweza kupiga 7.63 ya Bolt. Huwa anaanza vibaya.Nimecheck aisee...
Bet yangu ilikuwa kwa Kishane kwa sababu Noah hajawahi kimbia sub 9.80 sec...
Leo kwa mara ya kwanza Noah kakaza na kufika 9.78 sec, his lowest time ever in 100m race...