Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Mental strength imewabeba USA. There was no any point in the game they thought they would lose while Serbia got carried away thinking they've won the game.
 
Mental strength imewabeba USA. There was no any point in the game they thought they would lose while Serbia got carried away thinking they've won the game.
Kabisa aisee, nimeikubali mentality yao. Serbia aliona kishamaliza game wakaanza kufanya sana mistakes
 
Aisee kweli nimezeeka. Huyu Tebogo alieshinda 200m gold ame dedicate ushindi kwa mama yake aliekufa mwaka huu. Kumbe MAMA YAKE kazaliwa 1980! Almost same age na mimi. Kumbe tunaangalia watoto wetu sasa sio wadogo zetu tena!
 
Aisee kweli nimezeeka. Huyu Tebogo alieshinda 200m gold ame dedicate ushindi kwa mama yake aliekufa mwaka 8huu. Kumbe MAMA YAKE kazaliwa 1980! Almost same age na mimi. Kumbe tunaangalia watoto wetu sasa sio wadogo zetu tena!

Hahah...yes maisha yanaenda kasi kamanda
 
Aisee kweli nimezeeka. Huyu Tebogo alieshinda 200m gold ame dedicate ushindi kwa mama yake aliekufa mwaka huu. Kumbe MAMA YAKE kazaliwa 1980! Almost same age na mimi. Kumbe tunaangalia watoto wetu sasa sio wadogo zetu tena!
Hao mbona wengi vijana wetu wenzetu Wana program nzuri za kulea vipaji mtoto wa miaka 17 ukiangalia namna anaangalia mchezo ni kama wa 25 yrs
 
USA walikuwa na utulivu mkubwa sana kwenye kuokota point kuelekea Serbia kwanza hawakuwa wanaruhusu makosa madogo madogo
 
Back
Top Bottom