Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Leo men's final USA vs France
Kesho women's final USA vs France
France wapo vizuri sana defensively, Ila Leo kazi wanayo
Lebron, KD na Curry wana Deni lao
 
Attachments

  • 20240809_013041.jpg
    20240809_013041.jpg
    239 KB · Views: 1
Miaka ya 2000s tulifurahia sana michezo ya kimataifa nadhani kuliko Sasa
Siku hizi kuona ngumi ,world cup,euro na Sasa Olympic ni hata haieleweki inaenda vipi
Nakumbuka Olympic ya Beijing ilikuwa nzuri sana na Ile ya Berlin
 
Too much business mazee, na mbwembwe kibao.
Na michezo imeingizwa kwenye Geo - Politics, west (USA) na east (Rusia) wanakabiana mpaka michezoni
 
Nasubiria kuona rotation ya USA leo itakuaje, maana game zilizopita kuna wachezaji wamekuwa wakikaa benchi mechi nzima...

Natamani kuona Jason anakamua leo...
Jason Tatum simulewagi
 
Back
Top Bottom