Karibu wote wanacheza USA college na wengine wamegusa NBA
Mechi ipo DStv!?Hii ni prep game. But SS has given team US a run for their money.
Aisee Bongo sijui tunakwama wapi. Hawa SS watoto wa wakimbizi leo top team ya AfricaBongo waendelee kukataa dual citizenship. Nigeria wana hadi team ya kucheza kwenye snow ila Nigeria snow haijawahi kushuka hata siku moja. Players wote wanatoka mbele.
CCM wanaogopa wakiruhusu mtaleta watu wawapindur toka madarakaniBongo waendelee kukataa dual citizenship. Nigeria wana hadi team ya kucheza kwenye snow ila Nigeria snow haijawahi kushuka hata siku moja. Players wote wanatoka mbele.
Ndo maana wanacheza vizuriKaribu wote wanacheza USA college na wengine wamegusa NBA
CCM wanaogopa wakiruhusu mtaleta watu wawapindur Toka madarakani
We si unamuona hata NapeWana akili za kizwazwa sana. Hizo nchi zingine nani kapinduliwa?
AsanteDstv ch 219
USA kawapiga Serbia,Canada,Australia kwenye hii mini tournament