uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Huyu ni beastHiki qlichofanya curry🙌🙌🙌
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni beastHiki qlichofanya curry🙌🙌🙌
Mkubwa mkubwa TU hii ni teamGame over ....
Mkubwa ni mkubwa tu...
Dah ukiona NBA inamuimba mtu huwa sio bure17 3s for Curry last two games!
Wako vizuri sanaNiliwachukulia poa france
No way ni kama alisema "let me finish this"basketball is awesomeHow can you stop that?!!
Sijajua aliamini Nini na pawe na dk zaidi huyu curry alikuwa amekasirikaHahah sasa Wemby analia nini...
Vibaya sana imagine unaona dream team yote in one roof na wako dedicatedWameitendea haki olympic na basketball
Hapa mwisho mashabiki walitaka kuwatoa mchezoni Curry akaona utani huu !!!Jrue kapiga 3s zaidi ya moja
Booker kapiga 3s zaidi ya moja
KD kapiga zaidi ya moja
Antony Edward kapiga zaidi ya moja
Utawafunga vipi hawa?
Curry katupia 8 I think
Dah kweli kabisa ila imekuwa nzuri sema Bora Leo game na Serbia niliganda kwenye kitiThat's all folks...
Tukutane regular season ya NBA
Adios!
KD ndiyo alikuwa fundi wa 3s kwenye mechi nyingi za nyuma. Leo kidogo kikapu kilimkataa.Jrue kapiga 3s zaidi ya moja
Booker kapiga 3s zaidi ya moja
KD kapiga zaidi ya moja
Antony Edward kapiga zaidi ya moja
Utawafunga vipi hawa?
Curry katupia 8 I think