Leo game imegawanwa na curry na Edward ila zaidi Curry maana hapa mwisho defence ya France kwenye paint ilikuwa vizuri sana bila kupiga nje ingekuwa shidaKD ndiyo alikuwa fundi wa 3s kwenye mechi nyingi za nyuma. Leo kidogo kikapu kilimkataa.
Si wa Azam tumepelekwa kwenye Taikwondo anyway si habaNasubiria medali zikigaiwa
Dogo yuko vizuri sanaHahah sasa Wemby analia nini...
KD ndiyo alikuwa fundi wa 3s kwenye mechi nyingi za nyuma. Leo kidogo kikapu kilimkataa.
KD angekuwa poa leo, basi huyo mwenye pts 24 ndiyo alitakiwa awe KD.Curry 24pts
KD 15pts
Booker 15pts
LBJ 14pts
Hao ndio leading scorers wa USA leo, huwezi sema KD game imemkataa wakati baada ya Curry , KD ndiye anafuatia kwa FG...
France vs USA live now
Subiri hadi mwishoUSA wananiangusha
USA wananiangusha