Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Inaonekana walicheza kwa nidhamu
Kwa 22
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa 22
Tukikaza tunaweza kuwamuduShughuli imeisha
Serbia ni wazuri mno, Sudan hatoboi
Yes, hata hii 3quarter naona mambo mazuriInaonekana walicheza kwa nidhamu
Huyu mwamba hajapata Dili NBA au Bado yupo collegeYes, hata hii 3quarter naona mambo mazuri
Nuni omot kama kawaida anatubeba
Serbia hawafaiSema wanaogepesha kwa jinsi walivyomfanya Puertrico 107- kwa 66 sio poa
Hawa watakuwa Nusu wasudani Nusu wanyamwezi🤣Hawa jamaa wa sudan mbona hawafanini na wale kona shibubu?
NBA hajapata shavuHuyu mwamba hajapata Dili NBA au Bado yupo college
Sema atatusua tu one-dayNBA hajapata shavu
Wanafanana vizuri tu, muangalie Jt Thor, omot au shayokHawa jamaa wa sudan mbona hawafanini na wale kona shibubu?
Anajua sana, Sasa mwenzie Thor yupo nba Ila yeye hayupo wakati naona yupo vizuri kuliko thorDah
Sema atatusua tu one-day
Nimeshangaa imekuwajeAnajua sana, Sasa mwenzie Thor yupo nba Ila yeye hayupo wakati naona yupo vizuri kuliko thor
USA wanafungika sema lazima utumie nguvu kubwaAtleast hii quarter tumeshinda
Ngumu, wakishakupiga gap kubwa huwa wanapunguza makali ndio maana imakua rahisi kuwafunga hata quarter mojaUSA wanafungika sema lazima utumie nguvu kubwa
Hawakawii kuanza Showgame kama yule mtoto EDWARD ana dharau sana dadeki🤣Ngumu, wakishakupiga gap kubwa huwa wanapunguza makali ndio maana imakua rahisi kuwafunga hata quarter moja
Ila wawe wanatafuta points, watakupiga vibaya mno
Mkuu huko Kuna futi 6 na point kwenda juu sio poaSema majamaa wa USA wana miili mikubwa sana, kuna huyu aliyekumbana na LeBron James, nilidhani asingenyanyaku