Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Sikuimalizia, nikaweka game ya YangaMkeka umechanika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuimalizia, nikaweka game ya YangaMkeka umechanika
Serbia ni wazuri, lakini kumbuka hii Ni US aisee
Naona wanafanya utani aiseeHali sio nzuri kwa USA, ni kama wako na fatigue hivi
Nashangaa hata 3 points zinakataa,Hii game ni kama unatazama USA isiyo na plan...
200m in few minutes
Lyles vs Tebogo vs Bednarek
Nashangaa hata 3 points zinakataa,
Ngoja tusubiri second half, naamini itakua ya moto sanaUSA akicheza hivi hivi Q3, atapigwa hii game
Us anashinda, gap sio kubwaSerbia watakata moto. Kinachowaweka mchezoni USA wana miss sana open looks
Hi second half wameanza kufanya mistakesGame plan ya Serbia so far works very well