Bastola iliyoua wawili Sinza ni dili kishirikina, lakini pengine pia imebeba mikosi na laana

Achana na kujibu watoto, unajua kuna watu wanaishi kama Kuku ili kusindikiza wenye maarifa
 
Mshana ulisema na kamba ya kujinyongea/mawe yalioua [emoji2]
inabidi nitafute Inkonsikazi litakua la maana zaidi
[emoji2][emoji2][emoji2] ukilipata nakupa usd 2000 cash
 
Achana na kujibu watoto, unajua kuna watu wanaishi kama Kuku ili kusindikiza wenye maarifa
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji736][emoji817][emoji1534][emoji1548]
 
Hizo bastola hutumiwa na watu kama hawa
Your browser is not able to display this video.
 
Bro huu uzi wako unatisha sana, eti mmiliki wa bastola kama haitaua mtu itakuua mwenyewe, imekuwa Jini lazima linywe damu ya mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…