Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,562
- 3,715
Hongereni wafugaji salaaam zenu popote mlipo nawalaji nyama yake nikiwemo. Ufugaji wa bata mi binafsi nauona ni mgumu sana kutokana na tabia za bata ni mchafu sana yani yeye yupo rafu angekuwa binadamu sijui tumfananinshe na nani!!.
Inahitajika mfugaji awe msafi sana na mwenye bidii ili kuhakikisha mazingiza ni safi muda wote. Anakunya ovyo sana tena popote pale na mavi yake yamajimaji yale haaaaah.... 😂😂😂
Anavyokula nikimuangalia yani fasta anameza adi plastiki akagui kitu yeye nikula tu alafu wanapenda kuchezea maji na vyombo ukiweka vibaya utavikuta vinamavi vyote.
Japo mchafu lakini nyama ya bata ni super sana laini inamafuta tamu pia, kwa walaji wa nyama hii ni mashuhuda lakini sio wote wanaipenda kwa sababu mbalimbali wengine wakila wanatoka mabaka kwenye ngozi zao au kichwani wanasema inawadhuru 😂😂
NYAMA YA BATA NI TAMU KULIKO YA KUKU.