Bata ni mchafu lakini ni mtamu sana kuliko kuku

Bata ni mchafu anakunya hovyo lkn nyama yake ni tamu kuliko ya kuku nimekuelewa sana
 
Nyama take tamu Sana'a tena inamfupa kidogo ila ujazo wa steki ni mara 3 ya kuku au 4 kabisa
 
unapotaka kula bata utulivu lazima na mda unatumia mwingi uyo unamtupia dada wakazi ashughulike ww msubili mezani akiwa tayari kwakuliwa ili harufu isikukifu
Wewe utarogewa huko huko, kupikiwapikiwa huku haya ngoja tusubiri
 
Jinga kabisa ata kipicha cha bata umekosa walau ata emoj.. Ebooh[emoji1658][emoji1658][emoji1658]
 
Nilikuwa sijawahi Kula Bata....mpaka 2013 Time naenda kumwona mama Yangu after 16 years separation...Mkoani singida wana utamaduni kuwa ukitembelea Wajomba ,mam wakubwa babu na bibi lazima upewe kuku ,Bata au mbuzi...Uchinjiwe ....Kupunguza urefu ea stori nilienda kea mjomba Wilayani iramba as alikuwa afisa Kilimo na mifugo Nikapelekwa shambani nichague Mnyama was kuchinjiwa....as nishakula Ng'ombe,mbuzi kuku,kondoo Nikachagua Bata mmoja mkubwa sana....Mjomba alicheka na kuniambia huyo siyo mtamu ....Akanichagulia ambae Amekaribia kutaga .....Alimwandaa mwenyewe ...alimkaanga alimtia Viungo Kama vyote kiufupi Alimwandaa vizuri...aseh Na nilimla na brown Rice
mwemwemwemwee Bata mtamu ase akipata Mtu anaejua namna ya kumuandaa...
 
mkuu ulifaidi sana
 
Back
Top Bottom