Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuuBata ni mchafu anakunya hovyo lkn nyama yake ni tamu kuliko ya kuku....nimekuelewa Sana...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Hua inasmell dagaa ...
Wewe utarogewa huko huko, kupikiwapikiwa huku haya ngoja tusubiriunapotaka kula bata utulivu lazima na mda unatumia mwingi uyo unamtupia dada wakazi ashughulike ww msubili mezani akiwa tayari kwakuliwa ili harufu isikukifu
๐๐๐๐sio mbaya umenisaidia kuwekaJinga kabisa ata kipicha cha bata umekosa walau ata emoj.. Ebooh[emoji1658][emoji1658][emoji1658]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes! Mkuu, unajua wanaume tu mali adimu sana,unazungumzia limbwata au๐๐๐
mkuu ulifaidi sanaNilikuwa sijawahi Kula Bata....mpaka 2013 Time naenda kumwona mama Yangu after 16 years separation...Mkoani singida wana utamaduni kuwa ukitembelea Wajomba ,mam wakubwa babu na bibi lazima upewe kuku ,Bata au mbuzi...Uchinjiwe ....Kupunguza urefu ea stori nilienda kea mjomba Wilayani iramba as alikuwa afisa Kilimo na mifugo Nikapelekwa shambani nichague Mnyama was kuchinjiwa....as nishakula Ng'ombe,mbuzi kuku,kondoo Nikachagua Bata mmoja mkubwa sana....Mjomba alicheka na kuniambia huyo siyo mtamu ....Akanichagulia ambae Amekaribia kutaga .....Alimwandaa mwenyewe ...alimkaanga alimtia Viungo Kama vyote kiufupi Alimwandaa vizuri...aseh Na nilimla na brown Rice
mwemwemwemwee Bata mtamu ase akipata Mtu anaejua namna ya kumuandaa...
๐๐๐๐Ila wanafunzi wa chuo wanapenda sana kula bata nakujisahau malemgo yao[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuandaa kwake masaa jumlisha kishombo niliwahi kupika mara moja sikuirudia tena.
VizuriNtakufundisha kuiandaa na kuila baby,uta enjoy sanaaa,Kuna Bata na Bata pia kumla Bata yataka maandalizi siyo kukurupuka tu
Sent using Jamii Forums mobile app