Bata ni mchafu lakini ni mtamu sana kuliko kuku

Unaijua ile nyama ya kitu haramu..??
Ile imenifanya mpaka sasa nijiulize kwanini ile jamaa waliisema ni haramu!!
Kitu tamu Sana ile Bata yupo ki local Sana lkn ile haramu ngoma ya kimataifa πŸ˜‚πŸ˜…
Kwaiyo unataka kusema wamekataza kwasababu ya utamu? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naona upo maeneo flani hapo unakula bata" alisikika mlevi mmoja akiongea na mwenzake kwenye simuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜œπŸ˜‚πŸ˜œ
 
Vitu vichafu vina historia ya utamu
Hata mapenzi yana uchafu mwingi unaoleta utamu
 
Vitu vichafu vina historia ya utamu
Hata mapenzi yana uchafu mwingi unaoleta utamu
umenena kitu navuta picha mapenzi yangekuwa hadharani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo shombo ndio imenitoa kwa mood maana sio wa kwanza nakusikia ukisema hilo.
kila mtu napua yake uenda iyo harufu ikakuvutia,usihofie maneno labda hao walikuwa wakati wanakichanga tumboni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kila mtu napua yake uenda iyo harufu ikakuvutia,usihofie maneno labda hao walikuwa wakati wanakichanga tumboni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu shombo bwana hainaga mwenye kichanga au asiekuwa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…