Bata ya Korogwe, Tanga

Bata ya Korogwe, Tanga

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Korogwe ni Wilaya mojawapo ndano ya Mkoa wa Tanga. Zingine ni Handeni , Lushoto , Pangani , Muheza , Kilindi , Mkinga na Tanga yenyewe

Ni Wilaya ambao ni kama Centre ya kila mahali kwa mikoa ya kaskazini.

Korogwe - Dar , Korogwe - Arusha , Korogwe - Babati , Korogwe Iringa , Korogwe - Mtwara , Korogwe Morogoro.

Watumishi zaidi ya asilimia 75 Korogwe ni wageni , na zaidi wanatoka kwenye mashirika yasiyo ya kiserikali.


Korogwe ipo chini ya safu ya milima ya usambara.

Korogwe watu wanakula sana maisha. Una watu tofauti tofauti sana.

Kuna pubs , hotel za kifahari sana!


[emoji482][emoji482] Kama zote through out the week.

Karibu Korogwe.
 
Sehemu gani ya kifahari mkuu Buso, White parrot, Mamba club au wapi
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
 
Ulivyosema Bata nikajua (Pisi Kali)
Ulivyosema korogwe ( nikajua mtoa halua)
Fikra za kukemea hizi.
😂😂😂😂
 
Mji mzuri sana ule.
Spirit, JT, Traveler..
 
Nilipata kupita pale sehemu karibu na stand ya muembeni. Kuna bajaji nyingi za abiria. Jamaa wanachoma mbuzi wale sijapata kuona tz nzima.
 
Sijui hata kiduku lilo atakiwa huko anakula bata ama? Au aligombea wajumbe wakamfanyia fitna? Atakuwa wapi kwa sasa? Mbona kapetea?
 
Back
Top Bottom