Mvi kamanda huwa hazipauki.Wapambanaji mpooo! Naomben kufaham ni kampuni gani nzuri inayo tengeneza bati imara ambazo haziwezi kupauka?
Nikipata makampuni tofauti tofauti itakuwa vizuri sana na bei zao kwa bando
Nami ningependa kujua piaKwanini Nabaki Afrika haitajwi kwenye mada za mabati...!?
Nabaki Africa ni muuzaji wa building materials. Ila anauza vitu vizuri sana. Ana uzoefu wa zaidi ya miaka 20 kwenye tasnia. Anastahili pongezi kwa kweliKwanini Nabaki Afrika haitajwi kwenye mada za mabati...!?
Bro, hata kampuni pia ina matter. Bati ya ALAF ni tofauti kabisa na bati Bomba. Angalia bei zao. Hata uimara unatofautianaHakuna cha kampuni wala nini bati zote hupauka ni swala la muda tu
Ila kuna baadhi ya rangi ikipauka huonekana zaidi. Kwa bahati mbaya wengi ndio huzichagua hasa damu ya mzee.
Rangi nzuri ambazo hata ikipauka huwa haionyeshi ni karoti na kijivu.
Inawezekana, mimi si mtaalam lkn kuna hoteli moja unguja villa zake zimejengwa hivo. Paa la zege na siyo hidden roof, ni mapaa yaliyonyanyuka kama unavojua Paa la kawaida.Hivi kwa.mfano nyumba juu nikamwaga zege nisitumie BATI hii inakaaje wataalamu si inawezekana?
Nyumba nyingi za zamani wamefanya hivyo. Mitaa ya Upanga ziko nyingi tu.Hivi kwa.mfano nyumba juu nikamwaga zege nisitumie BATI hii inakaaje wataalamu si inawezekana?
Inawezekana. Ila nahisi gharama inakuwa kubwa zaidi.Hivi kwa.mfano nyumba juu nikamwaga zege nisitumie BATI hii inakaaje wataalamu si inawezekana?
"Bati zote upauka ni swala la muda tu. Hapo ndio kuna tofauti." (Note hii)Bro, hata kampuni pia ina matter. Bati ya ALAF ni tofauti kabisa na bati Bomba. Angalia bei zao. Hata uimara unatofautiana