Bati aina gani nzuri ambayo haiwezi kupauka

Bati aina gani nzuri ambayo haiwezi kupauka

Wapambanaji mpooo! Naomben kufaham ni kampuni gani nzuri inayo tengeneza bati imara ambazo haziwezi kupauka?

Nikipata makampuni tofauti tofauti itakuwa vizuri sana na bei zao kwa bando
Mvi kamanda huwa hazipauki.
 
Hakuna cha kampuni wala nini bati zote hupauka ni swala la muda tu

Ila kuna baadhi ya rangi ikipauka huonekana zaidi. Kwa bahati mbaya wengi ndio huzichagua hasa damu ya mzee.

Rangi nzuri ambazo hata ikipauka huwa haionyeshi ni karoti na kijivu.
Bro, hata kampuni pia ina matter. Bati ya ALAF ni tofauti kabisa na bati Bomba. Angalia bei zao. Hata uimara unatofautiana
 
Hivi kwa.mfano nyumba juu nikamwaga zege nisitumie BATI hii inakaaje wataalamu si inawezekana?
 
Hivi kwa.mfano nyumba juu nikamwaga zege nisitumie BATI hii inakaaje wataalamu si inawezekana?
Inawezekana, mimi si mtaalam lkn kuna hoteli moja unguja villa zake zimejengwa hivo. Paa la zege na siyo hidden roof, ni mapaa yaliyonyanyuka kama unavojua Paa la kawaida.
 
Hivi kwa.mfano nyumba juu nikamwaga zege nisitumie BATI hii inakaaje wataalamu si inawezekana?
Nyumba nyingi za zamani wamefanya hivyo. Mitaa ya Upanga ziko nyingi tu.
 
Bro, hata kampuni pia ina matter. Bati ya ALAF ni tofauti kabisa na bati Bomba. Angalia bei zao. Hata uimara unatofautiana
"Bati zote upauka ni swala la muda tu. Hapo ndio kuna tofauti." (Note hii)
Unaponunua chochote zingatia ubora na vitu vya msingi na si ukubwa wa bei.
Ila sijakataa kuwa alaf bado kwa Tanzania ndio kampuni bora. Me bado niko kwwnye swala la upaukaji.
 
Back
Top Bottom