Shida yake huwa ni nini hasa?Hizo n nyepes Sana ztakusumbua hapo badae Huon Hiyo nyumba N kubwa utajikuta unapata gharama zaid katika sehem ambazo haziitaji ubahili n msingi na kupaua
Shida yake n nyepes Sana ikipigwa Sana na Mvua kubwa kwa mfano ya mawe,au Mtoto akarusha jiwe, au likapigwa jua vizur, au wakat wa kupaua fund akikosa Umakin Linakuwa rahis kutoboka na kuanza kuvujaShida yake huwa ni nini hasa?
Hivi kuna bati linahimili uzito wa mtu mzima?Fundi akikanyaga vibaya tu anajikuta ndani!
gharama ya ufundi na bati zenyewe bora ununue bati walau gauge 30 upaue nusu ujipange taratibu. nyumba haipauliwi mara mbili ndugu labda ukubali kuingia hasara.Nataka kumpaulia shangazi yangu nyumba yake bati la geji 32 futi nane linauzwa 12 kwakuwa nyumba yake ni kubwa inahitaji bati 140 na kwaharakaharaka hiyo hela ninayo ila zaidi ya hapo sitamudu kwasasa .
Naombeni ushauri hi geji 32 ni durable? Na je kutokana na wepesi wake ukilipaka rangi linaimarika .?
Haiwezi kubeba uzito wa mtu. Ni kweli ni imara kuliko 32 gauge ila kubeba uzito wa mtu si kweli.Mkuu geji 28 unaijua au unaisikia
Nenda Alaf kiwandani hautojuta, kinyume Cha happy Nina neno moja tu, Pole wee.Nataka kumpaulia shangazi yangu nyumba yake bati la geji 32 futi nane linauzwa 12 kwakuwa nyumba yake ni kubwa inahitaji bati 140 na kwaharakaharaka hiyo hela ninayo ila zaidi ya hapo sitamudu kwasasa .
Naombeni ushauri hi geji 32 ni durable? Na je kutokana na wepesi wake ukilipaka rangi linaimarika .?
Yapo. Gauge 28 ya mkoloniHivi kuna bati linahimili uzito wa mtu mzima?
Inategemea na uzito wa mtu na mtu. Ila uzito wa pole pole au stivu nyerere au hata joti na mpoki unasimama vyema.Haiwezi kubeba uzito wa mtu. Ni kweli ni imara kuliko 32 gauge ila kubeba uzito wa mtu si kweli.
Mimi niunge mkono mshangao wako kwenye idadi ya bati, ujue hizo ni bundle 7!!! Shangazi ana makuu si kidogo.gharama ya ufundi na bati zenyewe bora ununue bati walau gauge 30 upaue nusu ujipange taratibu. nyumba haipauliwi mara mbili ndugu labda ukubali kuingia hasara.
Na huyo shangazi yako nyumba ya bati 140 [emoji31]
Sio ya beberuYapo. Gauge 28 ya mkoloni
Kwahiyo hii ndo bati Bora kabisa?Mkuu geji 28 unaijua au unaisikia
Bati gauge 30 ni imara na hazina tatizo, ameshasema uwezo wake mdogo unataka ajenge "kwa bati za serikali"!Mkuu sishauri kabisa utumie hizo Gage 32 maana ni nyepesi mno, pambana utumie Gage 28 ambazo ni nzito
Bei yake mkuuYapo. Gauge 28 ya mkoloni
Bomoa hiyo nyumba jenga kama hii tofali 1500,bati 62, 3bedroomsNataka kumpaulia shangazi yangu nyumba yake bati la geji 32 futi nane linauzwa 12 kwakuwa nyumba yake ni kubwa inahitaji bati 140 na kwaharakaharaka hiyo hela ninayo ila zaidi ya hapo sitamudu kwasasa .
Naombeni ushauri hi geji 32 ni durable? Na je kutokana na wepesi wake ukilipaka rangi linaimarika .?