RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Common sense. Uzito wa mtu wa kawaida 75kg akanyage bati lisibonyee? Mafundi wengi wanakanyaga kwenye mbaoSasa utabishaje kitu usichokijua!? Si ungeuliza tu..!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Common sense. Uzito wa mtu wa kawaida 75kg akanyage bati lisibonyee? Mafundi wengi wanakanyaga kwenye mbaoSasa utabishaje kitu usichokijua!? Si ungeuliza tu..!!?
Haya... common sence is not commonCommon sense. Uzito wa mtu wa kawaida 75kg akanyage bati lisibonyee? Mafundi wengi wanakanyaga kwenye mbao
Paka rangi PVAKuna duka lilinishikisha bati sitosahau, niliwaambia nataka gauge 30 kumbe wameniwekea gauge 32, fundi wangu mwenyewe hata kunambia hakunambia sijui walicheza game, bati zikaenda kugongwa. Katika chunguza chunguza nikakutana na namba kwenye bati imeandikwa 32[emoji26] aiseee nilichoka akilii na kichwa. Ikabidi niendelee tu kupigilia maana sikuwa na namna. Zilikuwa bando 6. Nina miaka miwili tu Sasa hivi bati limepauka balaa.
Paka rangi PVA
Hio ni rangi ya bati.Hii rangi ni maalumu kwa bati? Na kupauka kwake ni miaka mingapi?
Hizo bati labda utumie kujengea mabanda ya kuku ila kwa makazi ya binadamu hazifai hata kuzitlulizia bei tu ni kosa kubwa.Nataka kumpaulia shangazi yangu nyumba yake bati la geji 32 futi nane linauzwa 12 kwakuwa nyumba yake ni kubwa inahitaji bati 140 na kwaharakaharaka hiyo hela ninayo ila zaidi ya hapo sitamudu kwasasa .
Naombeni ushauri hi geji 32 ni durable? Na je kutokana na wepesi wake ukilipaka rangi linaimarika .?
Hivi wewe nawe inamaana ni mgumu kuelewa hivyo. Hizo Bati ni nyepesi kama karatasi..... Yaani kwanza huyo fundi atakaekuwa anapiga huko juu itabidi sijui awe ana nyata maana zitaweka maalama ya kubonyea hadi basi.Shida yake huwa ni nini hasa?
Hivi mkuu hizo gauge ulizo zitaja kwenye mtaa unao ishi ni watu wangapi wenye uwezo wakuzipaulia?Hizo bati labda utumie kujengea mabanda ya kuku ila kwa makazi ya binadamu hazifai hata kuzitlulizia bei tu ni kosa kubwa.
Bati nzuri ni gauge 28 kama itawezekana 26 (ingawa hizi hazipatikani sana sababu ya demand yake kuwa chini ingawa ni imara sana kwa ubora)
Kwa mtaa niliopo hapa nyumba nyingi zimepigwa gauge hiyo na zaidi wengine wameweka zile vigae vya bati.....Hivi mkuu hizo gauge ulizo zitaja kwenye mtaa unao ishi ni watu wangapi wenye uwezo wakuzipaulia?
Nice oneBomoa hiyo nyumba jenga kama hii tofali 1500,bati 62, 3bedrooms
View attachment 1520195
Zinatengenezwa kwa ajili ya kazi gani sasa?Hivi wewe nawe inamaana ni mgumu kuelewa hivyo. Hizo Bati ni nyepesi kama karatasi..... Yaani kwanza huyo fundi atakaekuwa anapiga huko juu itabidi sijui awe ana nyata maana zitaweka maalama ya kubonyea hadi basi.
Hakuna bati hapo... Achana nazo
Matumizi yake ni kama hapo uliposema kupaulia majengo yasiyo ya binadamu au majengo ya muda. Hizi bati bei yake ni reflection ya demand ndogo ya vitu vya ubora wa juu kutokana na bei zake kuwa juu.Zinatengenezwa kwa ajili ya kazi gani sasa?
Na ikawaje warranty ikatolewa miaka sawa tu na gauge zingine.
BTW:Nimepaulia mabanda since 2013 kutoka Alaf na sijaona tofauti hadi sasa.