Bati la geji 32 ni lakupaulia au? na ukilipaka rangi linaimarika?

gharama ya ufundi na bati zenyewe bora ununue bati walau gauge 30 upaue nusu ujipange taratibu. nyumba haipauliwi mara mbili ndugu labda ukubali kuingia hasara.

Na huyo shangazi yako nyumba ya bati 140 [emoji31]
HILO KANISA AU UKUMBI WA MIKUTANO😳😳
 
Mkuu piga vitu kama zisingekuwa umara zisinge wekwa dukani. Kanunue piga bati hamia hayo mengine ya natural calamities tumwachie Mungu huwa yanapiga wote.
Humu nyingine ni lugha za kibiashara ila bati ni bati tu.
 
Mimi niunge mkono mshangao wako kwenye idadi ya bati, ujue hizo ni bundle 7!!! Shangazi ana makuu si kidogo.
hakuna sehemu ya kuwa makini napo kama hapo juu kwenye kupaua.. ni kweli watu wanapenda kumiliki nyumba kubwa ila wanakosa elimu ya kufaham maeneo gani yatagharimu zaidi na pengine hata kushindwa kukamilisha, nadhani ni muhimu kabla ya kuamua kutumia ramani ni vizuri kufaham idadi ya bati kwanza . ndio maana wengi wanaishia kupaua na bati za gauge 32 ambazo haipiti miaka mitano wanaanza kuvujiwa ndani
 
Mkuu piga vitu kama zisingekuwa umara zisinge wekwa dukani. Kanunue piga bati hamia hayo mengine ya natural calamities tumwachie Mungu huwa yanapiga wote.
Humu nyingine ni lugha za kibiashara ila bati ni bati tu.
mkuu bati la gauge 32 halifai kabisa kuweka kwenye nyumba ya kuishi atakuja kulaani sana baadae. hizo bati ni za kuweka kwenye mabanda ya kuku
 
hakuna sehemu ya kuwa makini napo kama hapo juu kwenye kupaua.. ni kweli watu wanapenda kumiliki nyumba kubwa ila wanakosa elimu ya kufaham maeneo gani yatagharimu zaidi na pengine hata kushindwa kukamilisha, nadhani ni muhimu kabla ya kuamua kutumia ramani ni vizuri kufaham idadi ya bati kwanza . ndio maana wengi wanaishia kupaua na bati za gauge 32 ambazo haipiti miaka mitano wanaanza kuvujiwa ndani
Mmmhhh unataka kuniambia kuna mtu anaanza kujenga hajui ramani ya nyumba yake itachukua bati ngapi, tofali, nk? Pengine ni unakuta mtu kajipanga ila kabla ajamaliza mambo yanabadilika
 
mkuu bati la gauge 32 halifai kabisa kuweka kwenye nyumba ya kuishi atakuja kulaani sana baadae. hizo bati ni za kuweka kwenye mabanda ya kuku
Ivi gauge 32 ndo vile vinakuwaga vinapitisha mwanga utafikiri wameeka kitambaa?
 
Nina kakibanda kangu ka vyumba viwili kijijini kwetu nimepaua kwa hizo hizo bati.
ni bati nzuri kama mfuko wako unacheza. Ila kama mfuko umejaa, nunua bati imara zaidi.
 
Pole sana mkuu,usiwe mbishi,katafute bati geji 28 uone ubora wake
Nimeezekea gage 28 sijapanda juu cos sio fundi, ila bati kubeba uzito wa mtu?! Uimara 100% ila kubeba uzito wa mtu?;
 
Back
Top Bottom