stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 857
- 1,810
Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500
Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669
Ukitaka fundi kupaua pia yupo
Wakikujibu nitagKwenye bati changamoto sana. ALAF mkataba lakini bei ni mkasi. Kuna yoyote mwenye uzoefu na bati za mchina?
Poa, ngoja tuskilizie.Wakikujibu nitag
Sawa. Nitajuaje kama.ni la ALAF au kampuni nyingine?View attachment 3281604
Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500
Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669
Ukitaka fundi kupaua pia yupo
🤣🤣🤣Lipia tangazo
Mabati na Viwango vyake
1. Alaf
2. Ando
3. Sunshare
Mengine nunua at your own Risk.
Kakumamoto Kazanazo1. Alaf
2. Sunshare
3. Taishan
4.
5.
Kwa sababu Haya sio ya kichinaMabati na Viwango vyake
1. Alaf
2. Ando
3. Sunshare
Mengine nunua at your own Risk.
Yana muhuri wa Alaf pembeni?Kampuni ALAFU