The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Kipimo cha bati kudumu mda mrefu ni bei
NImekusoma Mad Max
Mkuu vipi nikiagiza kutoka china na sio bati za kichina zinazotengenezwa bongoMabati na Viwango vyake
1. Alaf
2. Ando
3. Sunshare
Mengine nunua at your own Risk.
Gauge 28 ni bei gani?View attachment 3281604
Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500
Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669
Ukitaka fundi kupaua pia yupo
Mchina kaja juzi, hata miaka 15 hajafikisha, kaangalie mabati ya Alaf yanadunda miaka na miaka, yapo tokea 80'sKwenye bati changamoto sana. ALAF mkataba lakini bei ni mkasi. Kuna yoyote mwenye uzoefu na bati za mchina?
Kuna muhuli wa motoSawa. Nitajuaje kama.ni la ALAF au kampuni nyingine?