The redemeer JF-Expert Member Joined Jan 28, 2025 Posts 4,778 Reaction score 8,232 Mar 25, 2025 #21 Kipimo cha bati kudumu mda mrefu ni bei
M Mishi Zawa JF-Expert Member Joined May 6, 2015 Posts 1,673 Reaction score 2,575 Mar 25, 2025 #22 Mad Max said: Kakumamoto Kazanazo Click to expand... NImekusoma Mad Max
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 7,875 Reaction score 12,665 Mar 25, 2025 #23 Castle_Lite said: Mabati na Viwango vyake 1. Alaf 2. Ando 3. Sunshare Mengine nunua at your own Risk. Click to expand... Mkuu vipi nikiagiza kutoka china na sio bati za kichina zinazotengenezwa bongo
Castle_Lite said: Mabati na Viwango vyake 1. Alaf 2. Ando 3. Sunshare Mengine nunua at your own Risk. Click to expand... Mkuu vipi nikiagiza kutoka china na sio bati za kichina zinazotengenezwa bongo
DR VRM JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 3,933 Reaction score 3,071 Mar 25, 2025 #24 stabilityman said: View attachment 3281604 Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500 Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669 Ukitaka fundi kupaua pia yupo Click to expand... Gauge 28 ni bei gani?
stabilityman said: View attachment 3281604 Bei ya sokoni saiz 24 march ni 37500 Gauge 30 kumbuka hili ndio bati pekee ambao halipauki kwa sasa Tz miaka mingi tupo buguruni 0743 257 669 Ukitaka fundi kupaua pia yupo Click to expand... Gauge 28 ni bei gani?
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,590 Mar 25, 2025 #25 Kakumamoto said: Kwenye bati changamoto sana. ALAF mkataba lakini bei ni mkasi. Kuna yoyote mwenye uzoefu na bati za mchina? Click to expand... Mchina kaja juzi, hata miaka 15 hajafikisha, kaangalie mabati ya Alaf yanadunda miaka na miaka, yapo tokea 80's
Kakumamoto said: Kwenye bati changamoto sana. ALAF mkataba lakini bei ni mkasi. Kuna yoyote mwenye uzoefu na bati za mchina? Click to expand... Mchina kaja juzi, hata miaka 15 hajafikisha, kaangalie mabati ya Alaf yanadunda miaka na miaka, yapo tokea 80's
stabilityman JF-Expert Member Joined Jul 9, 2024 Posts 857 Reaction score 1,810 Mar 30, 2025 Thread starter #26 The Burning Spear said: Sawa. Nitajuaje kama.ni la ALAF au kampuni nyingine? Click to expand... Kuna muhuli wa moto
The Burning Spear said: Sawa. Nitajuaje kama.ni la ALAF au kampuni nyingine? Click to expand... Kuna muhuli wa moto