Bati zinauzwa, usafiri bure ndani ya Dar es Salaam

urio emmanuel 92

Senior Member
Joined
Jul 20, 2020
Posts
112
Reaction score
34
Hii aina ya bati ni royal roma rough(material ya chenga) kwa mita moja 18,500 gage 28
IMG_20200131_091909.jpg
 
Duuuh, niliposoma kichwa cha uzi nikajua kuna usafiri mpya umeingia Dar unaitwa Bati.Bati na wameanza kutoa usafiri bure.

Nikasema acha nifungue uzi nijipatie taarifa nami kesho nipande usafiri wa bure maana mfuko wangu hautoshelezi kulipia uber.
 
Hahaa..poa poa mkuu karibu
 
Back
Top Bottom