urio emmanuel 92
Senior Member
- Jul 20, 2020
- 112
- 34
- Thread starter
- #41
Nauza boss pia kwa bando utapataHuuzi kwa bando boss?,
Nahitaji ila mimi ungaunga mwana
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Kuna bati za upana wa cm81 bando ni 450, 000 pisi zinakaa 16
Pia kuna bando za upana wa cm 87 kwa bando 508,000
Pisi zipo 16 kwa kila bando
Karibu