urio emmanuel 92
Senior Member
- Jul 20, 2020
- 112
- 34
- Thread starter
- #21
0765369158Karagwe kagera mnatuma ?nina hitaj bati 70
Njoo watsup boss
Ndio bati zinafika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
0765369158Karagwe kagera mnatuma ?nina hitaj bati 70
Bati za kampuni ya SUN SHARE napatikana buguruni sheli ndipo ofisi ilipo mkuu
Kaka fanyabiashara yako pasipo kuwapaka wenzio matope na sifa mbaya kwa wengine ili mradi ww ufanye biashara WEWE NI NANI TBS?,MUNGU?,NABII?prove kauli yako kwa vielelezo otherwise uwe unakaa kimya maana hata kauli zako zinaweza kukuingiza matatizoni kwa wenzetu kauli yako hii unafikishwa mahakamani maana unaharibi biashara za watu bila kielelezo chochote cha kuhakikisha unachoongeaIli angalau kuwa na credibility fulani tujiulize hii kampuni ya Sun Share Investiment Ltd wana kiwanda chao au ni middleman, kweli ofisi zao zipo Buguruni shell petrol station? lakini uki google inaonyesha ofisi zipo Tazara - Mandela Road bado swali linabaki pale pale kiwanda kipo wapi na kwanini matangazo ni ya mtu mmoja na sio kampuni tajwa?
Cha ajabu na sie wateja wa bati tumekuwa kama mateja wala hatutaki kuuliza material ya bati zao wanapata kutoka wapi na hili naliongelea kwa uchungu kwani watu wengi hivi sasa wanatengeneza bati kwa kutumia scrape halafu wanazipaka rangi watu wanalizwa na baada ya miaka miwili unaweza kusoma jina la ndege inayopita juu ya paa lako hivyo ni vizuri tukajua TBS wanasema nini kuhusu kiwango cha bati hizi
Mwisho website yao ni majanga...http://sunshare.biz/ lakini wanapatikana zaidi facebook na whatsapp
Shida yangu ni RELIABILITY AND QUALITY LEVEL!
Kaka fanyabiashara yako pasipo kuwapaka wenzio matope na sifa mbaya kwa wengine ili mradi ww ufanye biashara WEWE NI NANI TBS?,MUNGU?,NABII?prove kauli yako kwa vielelezo otherwise uwe unakaa kimya maana hata kauli zako zinaweza kukuingiza matatizoni kwa wenzetu kauli yako hii unafikishwa mahakamani maana unaharibi biashara za watu bila kielelezo chochote cha kuhakikisha unachoongea
Huoni au mpo pamoja?Mbona unapaniki ye kaongea kipi kibaya hapo
Huoni au mpo pamoja?
Mangi kikawaida huwa tunaishambulia hoja hatumshambulii mtoa hojaKaka fanyabiashara yako pasipo kuwapaka wenzio matope na sifa mbaya kwa wengine ili mradi ww ufanye biashara WEWE NI NANI TBS?,MUNGU?,NABII?prove kauli yako kwa vielelezo otherwise uwe unakaa kimya maana hata kauli zako zinaweza kukuingiza matatizoni kwa wenzetu kauli yako hii unafikishwa mahakamani maana unaharibi biashara za watu bila kielelezo chochote cha kuhakikisha unachoongea
Huyo sio mteja ni mfanyabiasharaMi niko pamoja na nyie wote jaribu kujibu hoja kwa hoja katika biashara kuna kila aina ya wateja wala usipaniki mkuu.HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA
Watsup ni sehem inayorahisisha zaidi mawasiliano mfano mteja kataka bidhaa mkiwa watsup nirahisi kueleweshana kwa picha zaidi hapa ipo picha moja watsup unatuma picha zaidi ili mteja kujiridhishaMangi kikawaida huwa tunaishambulia hoja hatumshambulii mtoa hoja
Jibu hoja yake kwa kuelezea ubora wa bidhaa yako, reference ya Wateja wengine, guarantee ya mteja, Elezea kilipo kiwanda Elezea unapotoa material na Aina ya material
Me Binafsi nime subscribe uzi wako tokea siku ya kwanza unaweka hii post nafatilia Hatua kwa Hatua kujua ubora wako mambo yangu yakiwa njema nikutafute
Kingine tangazo Umeweka JF mteja unamwambia aje whatsapp ushauri wangu kama huwezi kujibu watu wa JF nenda katangazie huko huko whatsapp l.
Ishu ya garantee ipo juu nishaiweka bidhaa zina garantee ya miaka 15 likitokea tatizo linalotokana na material yenyewe kuwa sio mazuri mfano kupauka au kushika kutu nakutoboka mteja anapewa bidhaa mpya na kuombwa radhi kwa ilo na iyo kesi haijawai tokea material ni mchanganyiko wa aluminium pamoja na zink na ni imported kutoka china location ya kiwanda ni TAZARA mandela road na ofisi zangu zipo buguruni sheli..Mangi kikawaida huwa tunaishambulia hoja hatumshambulii mtoa hoja
Jibu hoja yake kwa kuelezea ubora wa bidhaa yako, reference ya Wateja wengine, guarantee ya mteja, Elezea kilipo kiwanda Elezea unapotoa material na Aina ya material
Me Binafsi nime subscribe uzi wako tokea siku ya kwanza unaweka hii post nafatilia Hatua kwa Hatua kujua ubora wako mambo yangu yakiwa njema nikutafute
Kingine tangazo Umeweka JF mteja unamwambia aje whatsapp ushauri wangu kama huwezi kujibu watu wa JF nenda katangazie huko huko whatsapp l.
Watsup ni sehem inayorahisisha zaidi mawasiliano mfano mteja kataka bidhaa mkiwa watsup nirahisi kueleweshana kwa picha zaidi hapa ipo picha moja watsup unatuma picha zaidi ili mteja kujiridhisha
Hapa imekaa fresh mkuu Sikupingi hapa umenijibu Mimi na watu wengine kibaoIshu ya garantee ipo juu nishaiweka bidhaa zina garantee ya miaka 15 likitokea tatizo linalotokana na material yenyewe kuwa sio mazuri mfano kupauka au kushika kutu nakutoboka mteja anapewa bidhaa mpya na kuombwa radhi kwa ilo na iyo kesi haijawai tokea material ni mchanganyiko wa aluminium pamoja na zink na ni imported kutoka china location ya kiwanda ni TAZARA mandela road na ofisi zangu zipo buguruni sheli..
Sauwa mkuu karibuniHapa imekaa fresh mkuu Sikupingi hapa umenijibu Mimi na watu wengine kibao
Tunajichanga ziki tick tutakutafuta mkuu
Garantee miaka 15 yakujirisha mkuu bati hazipauki ziko vizuriJe bati hiyo haipauki? maana mabati ya siku hizi unaweza ukaweka la rangi ya dark grey baada ya mwaka unakuta la silver. Sijui tunafeli wapi wabongo
IT5-1075 AINA YA BATIGarantee miaka 15 yakujirisha mkuu bati hazipauki ziko vizuri
Max coverIT5-1075 AINA YA BATI
UPANA 1070CM (MAXCOVER)
RANGI NI BRICK RED
MATERIAL ROUGH
BEI KWA MITA 18,100
Kampuni SUN SHARE
Garantee miaka 15
View attachment 1573832
Max cover