Panga la Yesu
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 239
- 24
ALAF au Fundi manyumba unasemaje
Sasa huyo fundi bishoo ni saidia fundi wakuu ahahahah
Ahahaha ngoja nishakuja hapa mkuu niwape madiniALAF au Fundi manyumba unasemaje
ushauri mzuriNenda na ALAF Ila jitahidi uchukue kiwandani Wahuni wasije kukutapeli.
Hivi kiwandani huwa wana idadi zao au hata 30 tu wanauzaNenda na ALAF Ila jitahidi uchukue kiwandani Wahuni wasije kukutapeli.
Je minimum order kwa kiwandani ni bati ngapi?Nenda na ALAF Ila jitahidi uchukue kiwandani Wahuni wasije kukutapeli.
Je wametoa vugezo au sababu zipi za kukushawishi kuwa uende ANDO?watu wamenifuata inbox wanashauri pia ANDO je niende na ipi sasa kati ya hizi,
Nunua yoyote kati ya hizoBati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?
Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo?
Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri.
Tupo Arusha