Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?

Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?

Panga la Yesu

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2009
Posts
239
Reaction score
24
Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?
Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo?
Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri.
Tupo Arusha
 
Hapa naona kama ALAF inapata kura nyngi pamoja kuna watu wamenifuata inbox wanashauri pia ANDO je niende na ipi sasa kati ya hizi, nani anamawasiliano ya ofisi zao Hapa Arusha?
na Je ofisi zipo wapi?
 
Bati zuri la kupaulia kwa sasa ni lipi?
Je ni kampuni gani ya mabati ambayo hayapauki haraka, niliambiwa ALAF na ANDO sasa sijui ni ipi niondoke nayo?
Yamkini wewe uajua kampuni nzuri pia nitapokea ushauri, nataka ati zuri kwajili ya nyuma nzuri.
Tupo Arusha
Nunua yoyote kati ya hizo
Kwani unategemea kuishi miaka mingapi ijayo?
 
Back
Top Bottom