Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,741
Hallow inaonyesha huyu mama alionga sana ndo maana aamini kama kapigwa chini asaini bwana asitake watu waanza vita. Hatutaki kumwaga damu
Shauri yake Kiravu alishasema hata mtu akatae kusain matokeo hakutabidilisha chochote. Labda wabadilike maana si unajua NEC inaweza kuwa ni National Electral Commision au ile ya CCCCM.