Hallow inaonyesha huyu mama alionga sana ndo maana aamini kama kapigwa chini asaini bwana asitake watu waanza vita. Hatutaki kumwaga damu
Nimepigiwa simu sasa hivi na mtu aliyepo Manispaa Arusha mjini anasema Batilda anakataa katakata kusaini fomu ya matokeo...Wakazi wa Arusha kwa ujumla wao wamezunguka ofisi hizo na wamejaa sana na kufunga barabara zote, hapapitiki kabisa kwa usafiri wa magari!
Nafuatilia zaidi.
Hali ni mbaya hapa mjini kutamwagika damu leo, nasikia wanataka kumtangaza Batilda mshindi !!!!!!!!!!!