Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Elections 2010 Batilda Agoma Kusaini Matokeo!

Status
Not open for further replies.
Sisi-em wamefulia takrabani maeneo yote ya nchi! Tuendelea kuimarisha upinzani, hakika mabadiliko yanakuja!
Ndugu zangu wana Jf hakuna kisichowezekana kwa Mungu maana huyo mama Batilda Juzi wamezunguka mji wa Arusha huku wakimalizia kwa matusi ambayo yalikuwa yanatolewa na wana ccm walioongozana naye na kyuwatishia baadhi ya watu kuwa akipata kura baadhi ya radio ataifunga kisa anakijua yeye mwenyewe na niko arusha hali siio swari sana ila hakuna kilichotokea mpaka sasa ya kuvuruga amani tunasubiri kutangazwa matokeo kwani batilda bado hajasaini ila ushindi wa asilimia mkubwa ulienda kwa lema ,
 
Hao CCM wanataka balaa...wasije wakalogwa wakachakachua hayo matokeo watajuta! Watu wa sasa sio wa zamani ...hakuna atakaekubali.
 
Yeye Lowasa anatoka ktk jimbo lake anaenda kushinikiza jimbo lingine, who is he? Yeye si mwizi tu?
Kwa nini watu wanawaogopa hawa wezi?
 
Sijaawahi kukusa pombe kwa ulimi ila matokeo yakiendelea hivi itanibidi nionje nusu chupa hata kama ni kwa kuchanganya na coke!
 
And who is he kusema kura za Arusha zihesabiwe tena jamani na huyu msimamizi wa uchaguzi iweje akubali kufanya kitu kama hiki jamani where is slaa mzee ndesa waje nao kumsaidia kijana hawa majambazi wanataka kutupeleka pabaya
 
yani hali ianpoelekea mbona inatisha, kwani yeye kama anni mpaka atoe hiyo amri....inatia hofu kwa kweli.
 
Ukiwa unakula nyama za watu hauwezi kuacha alisema Nyerere
 
FFU wameanza kufukuza watu waliofurika manispaa ya Arusha na yasemekana ya kuwa lowassa amefanikiwa kumshinikiza msimamizi kura zirudiwe kuhesabiwa...yaelekea janja ya CCM ni kurudia kura pale wagombea wake wameshindwa .......sasa haieleweki kama maboksi ya kura bado hayajachakachuliwa na huu utaratibu wa kuzihesabu kura tena upo kwenye sheria zipi za NEC.....................................au za uchaguzi.......huu sasa una harafu kali ya kuchakachua matokeo na vurugu yake ni Mwenyezi mungu tu ndiye atakayeiepusha

LOwasa kashinikiza kura zirudiwe kuhesabiwa: Who is him being having a voice? He is giving the order as NEC or as EL? yale yale ya kivuitu.
 
FFU wameanza kufukuza watu waliofurika manispaa ya Arusha na yasemekana ya kuwa lowassa amefanikiwa kumshinikiza msimamizi kura zirudiwe kuhesabiwa...yaelekea janja ya CCM ni kurudia kura pale wagombea wake wameshindwa .......sasa haieleweki kama maboksi ya kura bado hayajachakachuliwa na huu utaratibu wa kuzihesabu kura tena upo kwenye sheria zipi za NEC.....................................au za uchaguzi.......huu sasa una harafu kali ya kuchakachua matokeo na vurugu yake ni Mwenyezi mungu tu ndiye atakayeiepusha

Huyu angeenda kule Moshi Mjini akawambie wale wachaga wa PHILIMONI
 
jamani wahusika wachadema kuweni macho yawezekana hii pia ni janja ya ccm kuwaweka watu ktk tensionna matokeo mazuri ya ubunge ili waibe ya uraisi at the end na hayoya ubunge wajipe..maana iweje kila mbnge wa ccm alieanguka agome sign matokeo...hii ni janja fulanituweni makini,inabidi kujipanga wahusika wanaogombea ubunge wasimamiea haki yao kutmia watu husika na dr slaa na watu makini stron muwe makini na kura za uraisi..yaani ningekua na contacts za osama ningemuomba aje awaadabisehwa watu wa nec wanboa san
 
Haya sasa yanataka kuwa ya Dar mwaka 95, wasiogope makao makuu ya EAC kwenda upinzani. Hii ndio demokrasia ya kweli, tukubali ili tuendelee kuijenga nchi na si kuijinga nchi maana hili ni gumu.
 
ffu wameanza kufukuza watu waliofurika manispaa ya arusha na yasemekana ya kuwa lowassa amefanikiwa kumshinikiza msimamizi kura zirudiwe kuhesabiwa...yaelekea janja ya ccm ni kurudia kura pale wagombea wake wameshindwa .......sasa haieleweki kama maboksi ya kura bado hayajachakachuliwa na huu utaratibu wa kuzihesabu kura tena upo kwenye sheria zipi za nec.....................................au za uchaguzi.......huu sasa una harafu kali ya kuchakachua matokeo na vurugu yake ni mwenyezi mungu tu ndiye atakayeiepusha
kwa nini zihesabiwe tena? Mawakala wa ccm si walikuwepo na wamesign? Hii si nzuri kabisa!
 
Kata kumi na tano zimeenda upinzani CCM mpaka sasa wana kata nne hata meya wa jiji la Arusha atatoka CHADEMA.

Lakini haya matokeo umeyakubali? Kama umeyakubali mwambie mgombea wako asaini basi
 
Mbali na kuonga yaliyomkuta anastahili maana dhuluma aloyomfanyia Felix Mrema kwenye kura za maoni imemrudia. Akataye kwa upanga...
 
wasije wakaruhusu kurudiwa kuhesabiwa. Hapo ni majumuisho tu. Watawapa nafasi wote wenye nia mbaya kuchakachua
 
Jamani mbona hasira zinanipanda mie, hivi ni kweli kwamba amekuja kishinikiza? mambo ya jimbo lingine yanamhusu? kwanza yeye ni nani kwenye jimbo la arusha mjini? na ana madaraka gani ya kuja kwenye jimbo lingine na kufanya anachotaka yeye?
 
Lowasa anahusikaje na taratibu za uchaguzi mpaka aamuru kura zihesabiwe upya.
 
Jamani tatizo ni JK yeye ndiye ametoa amri kuwa matokeo yasitangazwe mpaka atakapomaliza kufanya tathmini, sasa jamani hizi si vurugu za kujitakia ? Hawa mafisadi hawataki kukubali matokeo wako kwenye mchakato wa kuchakachua. EWE KIKWETE IEPUSHE TANZANIA NA MACHAFUKO, WATU WAMEPIGA KURA WANATAKA MATOKEO NA SI VINGINEVYO, KAMA KUNA MTU HARIDHIKI AFUATE TARATIBU ZA RUFAA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom