Ndugu zangu wana Jf hakuna kisichowezekana kwa Mungu maana huyo mama Batilda Juzi wamezunguka mji wa Arusha huku wakimalizia kwa matusi ambayo yalikuwa yanatolewa na wana ccm walioongozana naye na kyuwatishia baadhi ya watu kuwa akipata kura baadhi ya radio ataifunga kisa anakijua yeye mwenyewe na niko arusha hali siio swari sana ila hakuna kilichotokea mpaka sasa ya kuvuruga amani tunasubiri kutangazwa matokeo kwani batilda bado hajasaini ila ushindi wa asilimia mkubwa ulienda kwa lema ,Sisi-em wamefulia takrabani maeneo yote ya nchi! Tuendelea kuimarisha upinzani, hakika mabadiliko yanakuja!