Elections 2010 Batilda Aibuka toka ICU hadi Mahakamani...

Elections 2010 Batilda Aibuka toka ICU hadi Mahakamani...

Mahakama haina uwezo wa kumtangaza yeye ni mshindi ila ni NEC...Mahakama inaweza kusema uchaguzi urudiwe na huko wapigakura watmfunza somo ambalo kamwe hataweza kulisahau na atakuwa amejimaliza kisiasa..........
 
Hii imekaa sawa kweli! coz hata leo nilikuwa na mmojawapo wa wakala wa chadema akasema mum alikuwa haamini aliomba kura zirudiwe kujumlishwa mara kadhaa huku akihema kny kochi,kunywa maji,na kutoka nje kuongea na cm lkn bado mara zote kura hazikuona kitu dhidi ya Lema hatimae wakamtania "hata tukikuongezea 5000 kutoka kwa lema haitasaidia".
wakati huo huko nje nako kukawa kumechachamaa sana Batilda mara mbili akitoka kuongea na simu akasema jamani tangazeni hayo matokeo kwa usalama wa watu wa Arusha.Sasa iweje tena aende mahakamani atakuwa kachanganyikiwa au!:nono:
 
Facts aren't in place n my comments are as well very carefuly Newtralized...If thats true,I am afraid the cute Lady is depriving herself of a quick recovery/healing.She looks too smart to take that option.She has enough interlectual experience and a bit of political maturity..m sure the next president wil gladly grab her in the circle...
 
nilikua chekechea kulikua na nini 1995?
Zilifunguliwa kesi zaidi ya 124 dhidi ya CCM. Kutokana wingi huo ndio maana wakaweka kiwango cha kinga ya gharama za kesi milioni tano kwa kila mtu unayemshtaki ambao huwa ni watatu yaani, mshindi, msimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria Mkuu. Jumla milioni 15. Wengi hawana hizo pesa na hiyo iliwazuia watu wengi kufungua kesi. Sasa waweze ruhusa ya mahakama kutolipa pesa hizo ambayo nayo ni kesi ndani ya kesi.
 
mm naona Lema amchumbie Batilda wamalizane, kwani si anaweza kuwa nyumba ndogo, kwani cha ajabu ni kipi? wakubaliane, tena watapendana hao, haaaalooooooooooooooooooo
 
Asubirie viti maalum wanawake mbona anapewa tu? Ajitahidi ufundi kwa mzee
 
kaka hii reaction yako inaonyesha una wasiwasi kuwa batilda na suffucient basis za kufanikiwa endapo atafunguwa kesi.lakini pia kwa msomi kama wewe kuanza kutoa misemo yenye kuashiria kumuingilia raia kutumia haki yake ya kimsingi inaonyesha upungufu mkubwa upande wako. Chonde huu ushabiki wa siasa usikuondelee heshima yako katika fani kaka...

hebu jisikilize pumba unazoongea ha! Hata aibu huoni
 
Mimi nashindwa kuelewa kabisa, hivi kwa nini ulazimishe kuwaongoza watu???? Watu wa Arusha hawataki uwaongoze lakini
wewe unakomaa mpaka una anguka, unazimia, unalazwa and before recovering u wanna try to take the matter to the court!!!! WHY?
Unachotakiwa kujifunza ni kwamba kwa sasa Arusha hawakutaki, Jipange upya then ujaribu kuingia tena kwenye game 2015.

SABABU ZA KUSHINDWA MWAKA HUU:
1. Ulikuja kwa mgongo eti umeletwa na LOWASA, Labda Batilda haelewi Lowassa hapendwi na kila mtu hapa mjini. Anapendwa na
watu wachache ambao anawaitaga kula nyama kule Monduli lakini siyo kila mtu hivyo next time ni heri umtumie hata Mrema na siyo Lowasa.
2. Acha kupigiwa kampeni na wahuni, wale ndugu zake hata yeye mwenyewe anajua ni wahuni na hawakubaliki hapa mjini.

Pole mama ndo kazi uliyo changua ya siasa
 
mm naona Lema amchumbie Batilda wamalizane, kwani si anaweza kuwa nyumba ndogo, kwani cha ajabu ni kipi? wakubaliane, tena watapendana hao, haaaalooooooooooooooooooo

i got u there, uzoefu wa kuwa nyumba ndogo anao, ni kuhama tu, kutoka nyumba ndogo ya
lowasa na kumkarimu Lema.....poor batilda.
 
Huyu mama vip? naona kama amepata muda mzuri wa kukaa na familia yake ..bado anang'ang'ania jimbo lisilo lake
 
Kaka hii reaction yako inaonyesha una wasiwasi kuwa Batilda na suffucient basis za kufanikiwa endapo atafunguwa kesi.Lakini pia kwa msomi kama wewe kuanza kutoa misemo yenye kuashiria kumuingilia raia kutumia haki yake ya kimsingi inaonyesha upungufu mkubwa upande wako. Chonde huu ushabiki wa siasa usikuondelee heshima yako katika fani kaka...
Omary... jamaa ameeleza atakachofanya, sioni kwanini uandike hizo pumba... wewe andika utakachofanya
 
ni vyema tu akienda court...
then tutasikia matokeo yake

ivi ni Dr by profesheno?
 
nilikua chekechea kulikua na nini 1995?

1995 kulikuwa na uchaguzi wa vyama vingi kama ilivyo sasa na CCM kama kawaida yao walichakachua kura nyingi sana, sasa kipindi kile chama kilichokuwa na nguvu kilikuwa ni NCCR MAGEUZI chini ya uwenyekiti wa Agustino Lyatonga Mrema
 
Rugemeleza nimeifurahia sana thread hii. Tunahitaji watu wenye moyo wa kizalendo kama wako. Kule kwetu Iringa Monica Mbega tumwemwambia asubiri U-RC wa kupewa na Mkwere.

Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
 
Omary... jamaa ameeleza atakachofanya, sioni kwanini uandike hizo pumba... wewe andika utakachofanya

Tatizo namjua Rugemeleza na naheshimu uwezo wake kama mwanasheria na mwanaharakati. lakini nahofia kumuona akizidiwa na ushabiki kiasi cha kukiuka maadili ya fani yake ambayo anaheshimika sana. He is a firebrand lakini niliamini kuwa he is ethical too....Alichofanya hapa kinadharia ni kumtisha Dr Batilda asithubutu kutumia haki yake kuomba vyombo vya sheria kuhakikisha haki kama inatendeka kama aonavyo yeye.

Na hili tatizo haliko kwake tu, miezi hii michache wengi wetu tumejisahau na kuchukuliwa na mhemuko wa kitu cha kupita na kusahau umuhimu wa Ethics and Rationality kama nguzo muhimu za mabadiliko ya kweli na mbadala bora na kuepuka na huu upepo wa bora mbadala....
 
Kwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama Marando naamini wata-solve tatizo kama hili. Pipoooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...........!!!

Kwaheri Batilda............:israel:
Huenda amepata malaria,ushauri wangu apelekwe hospitali akafanyiwe uchunguzi
 
Back
Top Bottom