Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zilifunguliwa kesi zaidi ya 124 dhidi ya CCM. Kutokana wingi huo ndio maana wakaweka kiwango cha kinga ya gharama za kesi milioni tano kwa kila mtu unayemshtaki ambao huwa ni watatu yaani, mshindi, msimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria Mkuu. Jumla milioni 15. Wengi hawana hizo pesa na hiyo iliwazuia watu wengi kufungua kesi. Sasa waweze ruhusa ya mahakama kutolipa pesa hizo ambayo nayo ni kesi ndani ya kesi.nilikua chekechea kulikua na nini 1995?
kaka hii reaction yako inaonyesha una wasiwasi kuwa batilda na suffucient basis za kufanikiwa endapo atafunguwa kesi.lakini pia kwa msomi kama wewe kuanza kutoa misemo yenye kuashiria kumuingilia raia kutumia haki yake ya kimsingi inaonyesha upungufu mkubwa upande wako. Chonde huu ushabiki wa siasa usikuondelee heshima yako katika fani kaka...
wewe nawe si ndio walewale tumewabwagaaaaaaaaaaaaaaa!Interesting......mtu kuheshimu dini yake ndio maana ya udini?
mm naona Lema amchumbie Batilda wamalizane, kwani si anaweza kuwa nyumba ndogo, kwani cha ajabu ni kipi? wakubaliane, tena watapendana hao, haaaalooooooooooooooooooo
Omary... jamaa ameeleza atakachofanya, sioni kwanini uandike hizo pumba... wewe andika utakachofanyaKaka hii reaction yako inaonyesha una wasiwasi kuwa Batilda na suffucient basis za kufanikiwa endapo atafunguwa kesi.Lakini pia kwa msomi kama wewe kuanza kutoa misemo yenye kuashiria kumuingilia raia kutumia haki yake ya kimsingi inaonyesha upungufu mkubwa upande wako. Chonde huu ushabiki wa siasa usikuondelee heshima yako katika fani kaka...
nilikua chekechea kulikua na nini 1995?
Omary... jamaa ameeleza atakachofanya, sioni kwanini uandike hizo pumba... wewe andika utakachofanya
Omary... jamaa ameeleza atakachofanya, sioni kwanini uandike hizo pumba... wewe andika utakachofanya
Huenda amepata malaria,ushauri wangu apelekwe hospitali akafanyiwe uchunguziKwa Taatifa nilizonazo ni kwamba Batilda 'Yule aliebagwa Vibaya na Lema' ana mpango wa kufungua mashtaka kushinikiza apewe ubunge wa arusha mjini. Je ataweza?...............Wanamabadiliko kama Marando naamini wata-solve tatizo kama hili. Pipoooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...........!!!
Kwaheri Batilda............:israel: