Heshima kwako PakaJimmy,
Mkuu Lema ameshinda lakini hakuondoi madhaifu yake.Nilishayazungumzia siku nyingi hakuna haja ya kuyarudia rudia.Mkuu mpinzani ameshinda hii ni faida ambayo watanzania wengi wenye akili wameisubiri muda mrefu mwaka huu Mungu ameshusha mkono wake watakuwa wengi pale mjengoni nilipenda viende vichwa vingi vyenye akili bahati mbaya Arusha tumempeleka Lema ambaye nina hakika hata wewe nikikupa assigment ya kutuletea cheti cha form four tu itakuwa ni ngoma haswa.
Mkuu nadhani umeshindwa kunielewa vyema jaribu kupitia mabandiko yangu moja moja labda utanielewa.