ludoking
Senior Member
- Oct 5, 2008
- 124
- 71
Hii ni zaidi ya kitu mbaya jamani.....haya yote kajitakia mwenyewe kiherehere chake. Mungu kasikia sauti za watu. Hii ni zawadi tosha kabisa kwa Batilda na Marmo ambao ni wapambe wote wa CCM waliokuwa msitari mbele kupandikiza chuki dhidi ya CHADEMA wakati wa sakata la Buzwagi kulikopelekea Zitto kusimamishwa kuhudhuria vikao kadhaa vya Bunge. Heri yake Mdhihiri aliyepigwa chini mapema. Mungu kaanza kutoa adhabu hapa hapa duniani. Imefahamika, wamesha dondokea pua