Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jambo kwa panel ya watts 90 Nunua Battery dry 100 Ah itafaa, Bei kwa sasa ni Tshs 260,000 kwa battery aina ya Ritar japokuwa hiyo sio the best in the market, lakini inafaa kwa matumizi na kwa hali ya maisha. Best ni Victron, Tez, sollartek.......na price ina range kati ya Tshs 400,000 - 450,000.Panel watt 90 boss.
Kutumia 80% haiwezi kudumu, inashauriwa usitumie zaidi ya 50%.battery ya sola ni deep cycle type na unaweza kuitumia hadi 80%
Wanauzaje battery za ritar ?Hakuna cha kujaribu, hiyo betri imekufa katupe au wauzie wanunua scraper Kama wapo. Betri nzuri ni dry za RITAR. Nunua N.100, solar panel watts100 halafu charge controller ya 10A, funga, hapo utacheka mpaka jino la mwisho lionekane. Ila usiogope gharama.
Achana na betr ya gari zina tesa sana, mimi zimesha kufa mbili sasa hivi nina ya solar,Panel yangu ni watt 90, nawashia taa 5 pekee. Au ninunue N50 ya gari inaweza kufaa?
Wadau watakujuza ila mkuu hebu jaribu kuangalia vzr hizo watt za tv. Flat screen iwe na watt kubwa hivyo!!!Jamani mimi naomba kuuliza. nina tv flat ambayo siyo ya solar ina watts 115 na receiver ya watts 15 je nikitaka kutumia solar nitatakiwa kununua panel za watts ngapi na battery ya n ngapi? nataka walau kwa siku niwashe tv japo kwa masaa 3. taa moja ya ndani na ndogo mbili za watts kama mbili zitakazo waka usiku kucha. inaweza gharimu bei gani??
Mkuu sahihisha hapo ukubwa wa betri kama ni N1000 basi kuna shida kubwa hapo. Ila kwa panel 120 watts unaweza funga battery 150 Ah 2 Pcs za dry na ukaendelea kupeta.Nami naomba msaada, nina panel 2 kila moja ina watt 120 na batteries aina ya chrolide mbili za N 1000 nina taa 15 ila kwa sasa matumizi kwenye TV hayapo kabisa. Battery moja ina miaka mitatu nyingine miwili na Sola moja ina miaka mitatu na nyingine miwili. Ushauri wenu
Panel Wat 90 battery Wat 100 hii uimekaajePanel yangu ni watt 90, nawashia taa 5 pekee. Au ninunue N50 ya gari inaweza kufaa?
Solar yako ingekua kubwa ningekushauli ununue battery gani ambayo hata kwangu natumia nyumba nzima tena sio natumia umeme wa DC Bali AC tena masaa kumi na naneHabari wana jf?
Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa kipindi tofauti ila hakuna improvement. Je kunautalam wowote naweza kufanya ikarudia hali yake hata kwa 50 -70%?. Nawasilisha hoja
Mkuu gharama ya hiyo system ni shilingi ngapi?mimi nina solar W80 na betr N70 na angalia tv + king'amuzi na bufa masaa 6, na taa 5 za solar.
Mkuu utoe maelezo ili tunufaike na siye ambao hatujafanya instalationSolar yako ingekua kubwa ningekushauli ununue battery gani ambayo hata kwangu natumia nyumba nzima tena sio natumia umeme wa DC Bali AC tena masaa kumi na nane
ndiyo mkuu nimeangalia kule nyuma imeandikwa hivo ni Sony bravia lcdWadau watakujuza ila mkuu hebu jaribu kuangalia vzr hizo watt za tv. Flat screen iwe na watt kubwa hivyo!!!