Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

Tatizo la nguvu za kiume za kiume fika hospital
 
Panel watt 90 then unatumia battery watt 100 fundi wako kicheche. Sasa plant yako nina wasiwasi nayo yote kaka. Kwanza nijue upo mkoa gani japo ikweta yote tunaset anel uelekeo mmoja ila unatofautisha angle of inclination, pili tafuta charger controlle yenye amps zinazoendana na panel yako, nne batery yako isiwe zaidi wa watt 70 na matumizi yako yaani watt hours yawe madogo hapo mpaka nifanya calculation.

Ila tu, kwa nilivyofundishwa ni kuwa battery ya gari sio durable kwenye solar sababu haijatengenezwa kwa ajili ya solar, battery ya sola ni deep cycle type na unaweza kuitumia hadi 80% ila ya gari ili idumu unatakiwa kuitumia isizidi60%. Cha kufanya ukinunua charger controller iseti umeme ukibakia 40% ikate. Utakaa na betri lako miaka angalau 4. Mimi nina watt100 na betri ya n70 kwa ajili ya emergency Tanesco wakifanya yao, nimeitumia 5yrs ndo imekufa tena baada ya kusahau kuongeza maji.
 
Panel watt 90 boss.
Jambo kwa panel ya watts 90 Nunua Battery dry 100 Ah itafaa, Bei kwa sasa ni Tshs 260,000 kwa battery aina ya Ritar japokuwa hiyo sio the best in the market, lakini inafaa kwa matumizi na kwa hali ya maisha. Best ni Victron, Tez, sollartek.......na price ina range kati ya Tshs 400,000 - 450,000.
 
Naomba kuuliza kama unaruhusiwa kutumia betry huku inachajiwa muda huo
 
Hakuna cha kujaribu, hiyo betri imekufa katupe au wauzie wanunua scraper Kama wapo. Betri nzuri ni dry za RITAR. Nunua N.100, solar panel watts100 halafu charge controller ya 10A, funga, hapo utacheka mpaka jino la mwisho lionekane. Ila usiogope gharama.
 
Wanauzaje battery za ritar ?
 
Panel yangu ni watt 90, nawashia taa 5 pekee. Au ninunue N50 ya gari inaweza kufaa?
Achana na betr ya gari zina tesa sana, mimi zimesha kufa mbili sasa hivi nina ya solar,
Umeme wa solar unahitaji elimu kabla ya kuutumia mkuu.
 
mimi nina solar W80 na betr N70 na angalia tv + king'amuzi na bufa masaa 6, na taa 5 za solar.
 
Nami naomba msaada, nina panel 2 kila moja ina watt 120 na batteries aina ya chrolide mbili za N 1000 nina taa 15 ila kwa sasa matumizi kwenye TV hayapo kabisa. Battery moja ina miaka mitatu nyingine miwili na Sola moja ina miaka mitatu na nyingine miwili. Ushauri wenu
 
Jamani mimi naomba kuuliza. nina tv flat ambayo siyo ya solar ina watts 115 na receiver ya watts 15 je nikitaka kutumia solar nitatakiwa kununua panel za watts ngapi na battery ya n ngapi? nataka walau kwa siku niwashe tv japo kwa masaa 3. taa moja ya ndani na ndogo mbili za watts kama mbili zitakazo waka usiku kucha. inaweza gharimu bei gani??
 
Wadau watakujuza ila mkuu hebu jaribu kuangalia vzr hizo watt za tv. Flat screen iwe na watt kubwa hivyo!!!
 
Nami naomba msaada, nina panel 2 kila moja ina watt 120 na batteries aina ya chrolide mbili za N 1000 nina taa 15 ila kwa sasa matumizi kwenye TV hayapo kabisa. Battery moja ina miaka mitatu nyingine miwili na Sola moja ina miaka mitatu na nyingine miwili. Ushauri wenu
Mkuu sahihisha hapo ukubwa wa betri kama ni N1000 basi kuna shida kubwa hapo. Ila kwa panel 120 watts unaweza funga battery 150 Ah 2 Pcs za dry na ukaendelea kupeta.
 
Habari wana jf?
Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa kipindi tofauti ila hakuna improvement. Je kunautalam wowote naweza kufanya ikarudia hali yake hata kwa 50 -70%?. Nawasilisha hoja
Solar yako ingekua kubwa ningekushauli ununue battery gani ambayo hata kwangu natumia nyumba nzima tena sio natumia umeme wa DC Bali AC tena masaa kumi na nane
 
Solar yako ingekua kubwa ningekushauli ununue battery gani ambayo hata kwangu natumia nyumba nzima tena sio natumia umeme wa DC Bali AC tena masaa kumi na nane
Mkuu utoe maelezo ili tunufaike na siye ambao hatujafanya instalation
 
tafuta charge controller za kisasa.. ndan yake znakua n load control unit ambay kazi'ke inakua inalinda battery lisiwe discharged unsafely.
 
Wadau watakujuza ila mkuu hebu jaribu kuangalia vzr hizo watt za tv. Flat screen iwe na watt kubwa hivyo!!!
ndiyo mkuu nimeangalia kule nyuma imeandikwa hivo ni Sony bravia lcd
 
Back
Top Bottom