SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,986
- 2,664
Piga kwanza hesabu vifaa vyako vina jumla ya watt ngapi? Ndio utajua unatakiwa sola ya watt ngapi betr N ngapi...Mkuu gharama ya hiyo system ni shilingi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga kwanza hesabu vifaa vyako vina jumla ya watt ngapi? Ndio utajua unatakiwa sola ya watt ngapi betr N ngapi...Mkuu gharama ya hiyo system ni shilingi ngapi?
Asante kwa ushauri nitafanyia kazi pia ni Faida kwangu maana now an switch kwenye N70 ambayo bei ni chin ukilinganisha na N100Pannel ya watt 90w kwa battery ya N100 ? Panashida hapo aliyekushauri hajakushauri vizuri hapo uwiano siyo mzuri ungechukuwa battery N 70 ungepata uwiano mzuri.
Battery za maji ni nzuri lakini zinahitaji utunzaji mzuri ndiyo maana tunashauri kununua battery dry hazina service.
Ulifanya makosa kuongeza maji makali ulitakiwa kuweka maji mapole dustill water kunauwezekano imesha kufa badilisha nyingine nunua N70 brand nzuri ni Riter au ASP ila bei imesimama ukishindwa hata sunstart
Huwezi kununua bettery ya gari kwani mfumo wake haukutengenezwa kwa matumizi ya solar betry ya solar inachajowa na pannel cells wakati ya gari inapata charge kutumia altonetor.
+255 716 168 992 check na huyo bwana pia wanakopesha.Jamani mimi naomba kuuliza. nina tv flat ambayo siyo ya solar ina watts 115 na receiver ya watts 15 je nikitaka kutumia solar nitatakiwa kununua panel za watts ngapi na battery ya n ngapi? nataka walau kwa siku niwashe tv japo kwa masaa 3. taa moja ya ndani na ndogo mbili za watts kama mbili zitakazo waka usiku kucha. inaweza gharimu bei gani??
tumia sundar solar powerHabari wana jf?
Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa kipindi tofauti ila hakuna improvement. Je kunautalam wowote naweza kufanya ikarudia hali yake hata kwa 50 -70%?. Nawasilisha hoja
Fanya hivi mkuu chukuwa 115+20=120w
Then let say taa zote ni 15w
Jumla ni 135w
Hivyo basi ni betri size gani utahitaji?
Kama mfumo wako ni wa volt 12, chukuwa 135w÷12v=11.25ah
So wewe unataka angalau masaa 3 hivyo 11.25ah*3h =33.75ah
So utahitaji betri ya 40ah na pannel ya 50w

Mimi si mwalimu ila nauza solar syatemJamani mimi naomba kuuliza. nina tv flat ambayo siyo ya solar ina watts 115 na receiver ya watts 15 je nikitaka kutumia solar nitatakiwa kununua panel za watts ngapi na battery ya n ngapi? nataka walau kwa siku niwashe tv japo kwa masaa 3. taa moja ya ndani na ndogo mbili za watts kama mbili zitakazo waka usiku kucha. inaweza gharimu bei gani??
Asante kwa ushauri nitafanyia kazi pia ni Faida kwangu maana now an switch kwenye N70 ambayo bei ni chin ukilinganisha na N100
Yani unangalia tv masaa mawili!!Mimi natumia N100 na 200W panels na ninafurahia mno solar system yangu kwani battery hii hujaa kabisa kila siku hata ningeweka battery 2 pia zingejaa licha ya kutumia laptop asubuhi hadi jioni. Angalia charger yako. Ni vizuri ukawa na charger yenye digital display kwani utajua mwenendo wa chaji na hata kama kuna excess voltage hivyo kupanga matumizi kuna kuwa rahisi. ProSolar charger controller ni nzuri natumia kwa mwaka sasa na nimefurahi mno. System yangu ina taa 4 za watts 5, taa 2 za watts 2 ambazo huwaka usiku mzima. bado taa nyingine 4 za vyumba huwashwa saa 1 jioni hadi saa 4 usiku. Pia tv panasonic kubwa kuwashwa kuanzia saa 2 hadi saa 4 usiku na siishiwi chaji hata cku 1.
Jaribu kupunguza angalau nusu ya maji yaliyo kwenye betry halafu nunua angalau chupa 3 za maji Makali halafu yatiye..baada ya hapo ichaji itadum kwa muda kias Kama miez 4 zaid au pungufu..mm nilijarb ikafanya kazi.. Usiogope kujaribu ndo kuweza.Wanauzaje battery za ritar ?
Asante mkuu, kwa hivo ulivovitaja hapo vikiwa complete yaani sysytem nzima bei ganiFanya hivi mkuu chukuwa 115+20=120w
Then let say taa zote ni 15w
Jumla ni 135w
Hivyo basi ni betri size gani utahitaji?
Kama mfumo wako ni wa volt 12, chukuwa 135w÷12v=11.25ah
So wewe unataka angalau masaa 3 hivyo 11.25ah*3h =33.75ah
So utahitaji betri ya 40ah na pannel ya 50w
Mimi si mwalimu ila nauza solar syatem
Battery N100Mkuu sahihisha hapo ukubwa wa betri kama ni N1000 basi kuna shida kubwa hapo. Ila kwa panel 120 watts unaweza funga battery 150 Ah 2 Pcs za dry na ukaendelea kupeta.
Shauri nasi tufaidikeSolar yako ingekua kubwa ningekushauli ununue battery gani ambayo hata kwangu natumia nyumba nzima tena sio natumia umeme wa DC Bali AC tena masaa kumi na nane
Asante Sana mkuu nitajaribuJaribu kupunguza angalau nusu ya maji yaliyo kwenye betry halafu nunua angalau chupa 3 za maji Makali halafu yatiye..baada ya hapo ichaji itadum kwa muda kias Kama miez 4 zaid au pungufu..mm nilijarb ikafanya kazi.. Usiogope kujaribu ndo kuweza.
Kwa anaye fanya biashara ya kuchaji simu inapigwa hesabu gani? Kwa kutumia invetaFanya hivi mkuu chukuwa 115+20=120w
Then let say taa zote ni 15w
Jumla ni 135w
Hivyo basi ni betri size gani utahitaji?
Kama mfumo wako ni wa volt 12, chukuwa 135w÷12v=11.25ah
So wewe unataka angalau masaa 3 hivyo 11.25ah*3h =33.75ah
So utahitaji betri ya 40ah na pannel ya 50w
Mimi si mwalimu ila nauza solar syatem
mkuu unauza bei gani betri n50 pannel watts60 inveter na chaja contolerFanya hivi mkuu chukuwa 115+20=120w
Then let say taa zote ni 15w
Jumla ni 135w
Hivyo basi ni betri size gani utahitaji?
Kama mfumo wako ni wa volt 12, chukuwa 135w÷12v=11.25ah
So wewe unataka angalau masaa 3 hivyo 11.25ah*3h =33.75ah
So utahitaji betri ya 40ah na pannel ya 50w
Mimi si mwalimu ila nauza solar syatem
Sikubaliani na calculations zako, kwanza inashauriwa usiinyonye battery chini ya 50% sasa kwenye mahesabu yako atakuwa ametumia asilimia ngapi?Fanya hivi mkuu chukuwa 115+20=120w