Battery yangu ya solar inaisha nguvu haraka

Pannel ya watt 90w kwa battery ya N100 ? Panashida hapo aliyekushauri hajakushauri vizuri hapo uwiano siyo mzuri ungechukuwa battery N 70 ungepata uwiano mzuri.

Battery za maji ni nzuri lakini zinahitaji utunzaji mzuri ndiyo maana tunashauri kununua battery dry hazina service.
Ulifanya makosa kuongeza maji makali ulitakiwa kuweka maji mapole dustill water kunauwezekano imesha kufa badilisha nyingine nunua N70 brand nzuri ni Riter au ASP ila bei imesimama ukishindwa hata sunstart

Huwezi kununua bettery ya gari kwani mfumo wake haukutengenezwa kwa matumizi ya solar betry ya solar inachajowa na pannel cells wakati ya gari inapata charge kutumia altonetor.

Asante kwa ushauri nitafanyia kazi pia ni Faida kwangu maana now an switch kwenye N70 ambayo bei ni chin ukilinganisha na N100

Jamani mimi naomba kuuliza. nina tv flat ambayo siyo ya solar ina watts 115 na receiver ya watts 15 je nikitaka kutumia solar nitatakiwa kununua panel za watts ngapi na battery ya n ngapi? nataka walau kwa siku niwashe tv japo kwa masaa 3. taa moja ya ndani na ndogo mbili za watts kama mbili zitakazo waka usiku kucha. inaweza gharimu bei gani??

+255 716 168 992 check na huyo bwana pia wanakopesha.

Habari wana jf?
Battery yangu ya solar imekuwa ikipoteza nguvu ndani ya masaa mawili baada ya kuwa full charged, ni battery ya maji (acid) na pia nimeshawahi kuiongezea maji(acid) mara mbili kwa kipindi tofauti ila hakuna improvement. Je kunautalam wowote naweza kufanya ikarudia hali yake hata kwa 50 -70%?. Nawasilisha hoja
tumia sundar solar power

Fanya hivi mkuu chukuwa 115+20=120w
Then let say taa zote ni 15w
Jumla ni 135w
Hivyo basi ni betri size gani utahitaji?
Kama mfumo wako ni wa volt 12, chukuwa 135w÷12v=11.25ah
So wewe unataka angalau masaa 3 hivyo 11.25ah*3h =33.75ah
So utahitaji betri ya 40ah na pannel ya 50w

Mimi si mwalimu ila nauza solar syatem

Jamani mimi naomba kuuliza. nina tv flat ambayo siyo ya solar ina watts 115 na receiver ya watts 15 je nikitaka kutumia solar nitatakiwa kununua panel za watts ngapi na battery ya n ngapi? nataka walau kwa siku niwashe tv japo kwa masaa 3. taa moja ya ndani na ndogo mbili za watts kama mbili zitakazo waka usiku kucha. inaweza gharimu bei gani??
Fanya hivi mkuu chukuwa 115+20=120w
Then let say taa zote ni 15w
Jumla ni 135w
Hivyo basi ni betri size gani utahitaji?
Kama mfumo wako ni wa volt 12, chukuwa 135w÷12v=11.25ah
So wewe unataka angalau masaa 3 hivyo 11.25ah*3h =33.75ah
So utahitaji betri ya 40ah na pannel ya 50w

Mimi si mwalimu ila nauza solar syatem
Asante kwa ushauri nitafanyia kazi pia ni Faida kwangu maana now an switch kwenye N70 ambayo bei ni chin ukilinganisha na N100

Mimi natumia N100 na 200W panels na ninafurahia mno solar system yangu kwani battery hii hujaa kabisa kila siku hata ningeweka battery 2 pia zingejaa licha ya kutumia laptop asubuhi hadi jioni. Angalia charger yako. Ni vizuri ukawa na charger yenye digital display kwani utajua mwenendo wa chaji na hata kama kuna excess voltage hivyo kupanga matumizi kuna kuwa rahisi. ProSolar charger controller ni nzuri natumia kwa mwaka sasa na nimefurahi mno. System yangu ina taa 4 za watts 5, taa 2 za watts 2 ambazo huwaka usiku mzima. bado taa nyingine 4 za vyumba huwashwa saa 1 jioni hadi saa 4 usiku. Pia tv panasonic kubwa kuwashwa kuanzia saa 2 hadi saa 4 usiku na siishiwi chaji hata cku 1.
Yani unangalia tv masaa mawili!!

Wanauzaje battery za ritar ?
Jaribu kupunguza angalau nusu ya maji yaliyo kwenye betry halafu nunua angalau chupa 3 za maji Makali halafu yatiye..baada ya hapo ichaji itadum kwa muda kias Kama miez 4 zaid au pungufu..mm nilijarb ikafanya kazi.. Usiogope kujaribu ndo kuweza.

Fanya hivi mkuu chukuwa 115+20=120w
Then let say taa zote ni 15w
Jumla ni 135w
Hivyo basi ni betri size gani utahitaji?
Kama mfumo wako ni wa volt 12, chukuwa 135w÷12v=11.25ah
So wewe unataka angalau masaa 3 hivyo 11.25ah*3h =33.75ah
So utahitaji betri ya 40ah na pannel ya 50w

Mimi si mwalimu ila nauza solar syatem
Asante mkuu, kwa hivo ulivovitaja hapo vikiwa complete yaani sysytem nzima bei gani

Jaribu kupunguza angalau nusu ya maji yaliyo kwenye betry halafu nunua angalau chupa 3 za maji Makali halafu yatiye..baada ya hapo ichaji itadum kwa muda kias Kama miez 4 zaid au pungufu..mm nilijarb ikafanya kazi.. Usiogope kujaribu ndo kuweza.
Asante Sana mkuu nitajaribu

Fanya hivi mkuu chukuwa 115+20=120w
Then let say taa zote ni 15w
Jumla ni 135w
Hivyo basi ni betri size gani utahitaji?
Kama mfumo wako ni wa volt 12, chukuwa 135w÷12v=11.25ah
So wewe unataka angalau masaa 3 hivyo 11.25ah*3h =33.75ah
So utahitaji betri ya 40ah na pannel ya 50w

Mimi si mwalimu ila nauza solar syatem
Kwa anaye fanya biashara ya kuchaji simu inapigwa hesabu gani? Kwa kutumia inveta

Fanya hivi mkuu chukuwa 115+20=120w
Then let say taa zote ni 15w
Jumla ni 135w
Hivyo basi ni betri size gani utahitaji?
Kama mfumo wako ni wa volt 12, chukuwa 135w÷12v=11.25ah
So wewe unataka angalau masaa 3 hivyo 11.25ah*3h =33.75ah
So utahitaji betri ya 40ah na pannel ya 50w

Mimi si mwalimu ila nauza solar syatem
mkuu unauza bei gani betri n50 pannel watts60 inveter na chaja contoler

Fanya hivi mkuu chukuwa 115+20=120w
Then let say taa zote ni 15w
Jumla ni 135w
Hivyo basi ni betri size gani utahitaji?
Kama mfumo wako ni wa volt 12, chukuwa 135w÷12v=11.25ah
So wewe unataka angalau masaa 3 hivyo 11.25ah*3h =33.75ah
So utahitaji betri ya 40ah na pannel ya 50w

Mimi si mwalimu ila nauza solar syatem
Sikubaliani na calculations zako, kwanza inashauriwa usiinyonye battery chini ya 50% sasa kwenye mahesabu yako atakuwa ametumia asilimia ngapi?

Fanya hivi 135*3=405 Ahr, haya ndiyo matumizi yake kwa saa 3.

Kwa kuwa utatumia 50% ya battery, 405*2=810 Ahr, mfumo wako ni 12 volts, chukua 810 ahr /12=
Fanya hivi mkuu chukuwa 115+20=120w
Then let say taa zote ni 15w
Jumla ni 135w
Hivyo basi ni betri size gani utahitaji?
Kama mfumo wako ni wa volt 12, chukuwa 135w÷12v=11.25ah
So wewe unataka angalau masaa 3 hivyo 11.25ah*3h =33.75ah
So utahitaji betri ya 40ah na pannel ya 50w

Mimi si mwalimu ila nauza solar syatem
Sikubaliani na calculations zako, kwanza inashauriwa usiinyonye battery chini ya 50% sasa kwenye mahesabu yako atakuwa ametumia asilimia ngapi?

Fanya hivi 135*3=405 Ahr, haya ndiyo matumizi yake kwa saa 3.

Kwa kuwa utatumia 50% ya battery, 405*2=810 Ahr, mfumo wako ni 12 volts, chukua 810 ahr /12=67.5.

Kwa matumizi ya huyu jamaa anashauriwa atumie battery ya 70ahr kwa kudrain 50%, na hapo battery itadumu.

Kuhusu solar panel inategemea eneo alipo anapata jua linalogonga kwenye panel kwa masaa mangapi. Panel kuizidi battery tu haitoshi unatakiwa ujue ni asilimia ngapi iizidi.

Kama anapata jua kwa masaa 6 atahitaji ya kuanzia 70 watts kwenda juu, kumbuka kadiri solar panel inavyokuwa na watts nyingi ndivyo battery yako inajaa haraka.

kama walivyokushauri kachaji betri katika battery charger.kwa ushauri wangu pia uangalie inatumia masaa mangapi.Pia kawaida solar panel inakawaida ya kurudisha/ kunyonya nguvu ya betri inapokosa jua.,Sasa nakushauri ufunge diode katika waya (live)unaotoka ktk panel kwenda ktk betri

Back
Top Bottom