Acha uoga,
Hakunaga makaburi ya waoga
[/QMakaburi ya majasiri uchwara yako wapi???
Imebainika kuwa ni wa Vietnam wa HalotelUko tiyari kuvaa viraka kutokana na kiherehere cha vijinchi uchwara vya afrika kutunishiana misuli na mabeberu?? Je China ambayo wananchi wake wanaikimbia nchi yao na wanafia kwenye magari huko uingereza ataweza kutusaidia???
Ukiwa mzuri halafu changudoa kila mtu atakupitia tu.Russia pia. Yaani Africa kuna potential ambayo sisi hatuioni. Ona Mabara mengine yanavyotugombania kama mpira wa kona.
Asante mkuuNchi zilizo *super power" kiuchumi na kijeshi zipo ktk "paradigm shift and adjustment" ili kukabiliana changamoto za kidunia kuhusiana na uhakika wa masoko wa vile wanavyovizalisha,, utunzaji wa mazingira, tishio la mabadiliko ya tabia nchi na ongezeko kubwa la watu, kwa upande wetu Afrika, tuna shauku ya kupata misaada tu, ni lazima nchi zetu zitakuwa siku zote nyuma kimaendeleo na kuishia kupambana na wapinzani wa ndani wa kisiasa badala ya kuwa na mikakati ya uhakika ya kujielekeza kule ambayo wenzetu wanakupigania kwa jasho na damu ili kulinda maslahi yao ya kiuchumi.
Hizo akili ndo zinatakiwa zipakiwe kwenye macontainer kupelekwa huko unakokusema.Hufainkuwa Afrika ya LeoUko tiyari kuvaa viraka kutokana na kiherehere cha baadhiyanchi za Kiafrika kutunishiana misuli na mabeberu. Je, China ambayo wananchi wake wanaikimbia nchi yao na wanafia kwenye magari huko uingereza wataweza kutusaidia?
Russia pia. Yaani Africa kuna potential ambayo sisi hatuioni. Ona Mabara mengine yanavyotugombania kama mpira wa kona.
Kelele za Kabudi ndio unazi Generalize kama Vita ya Africa ?Uko tiyari kuvaa viraka kutokana na kiherehere cha baadhiyanchi za Kiafrika kutunishiana misuli na mabeberu. Je, China ambayo wananchi wake wanaikimbia nchi yao na wanafia kwenye magari huko uingereza wataweza kutusaidia?
Russia ni bara ?Russia pia. Yaani Africa kuna potential ambayo sisi hatuioni. Ona Mabara mengine yanavyotugombania kama mpira wa kona.
Nimesema wapi Russia ni bara ?Russia ni bara ?
Yaani Nchi moja inawagombea Bara Zima
Kweli Africa is a Sithole Continent
Africa ni mabogus sana. Kuna Rais wa Central Africa kaomba silaha nzito. Nikajiuliza anakwenda kuua nani ? Yote haya ni kipindi akitaka kutawala kwa maisha. Scramble for Africa. Ila this time tunawafuata wenyewe.Russia ni bara ?
Yaani Nchi moja inawagombea Bara Zima
Kweli Africa is a Sithole Continent