Nkerebhuke
JF-Expert Member
- Nov 1, 2021
- 796
- 2,026
Kila taifa lina tunu zake ambazo kimsingi ndio kimsingi ndio nguzo na uhai wa taifa husika. Logically speaking, najivunia kuwa mtanzania kwani tumebarikiwa kuwa na tunu ya amani na upendo miongoni mwetu.
Kutokana na uwepo wa propaganda nyingi watu wengi wamekuwa blinded na aggressive traits za warusi kiasi cha kuvamia na kuharibu maisha ya jirani zake ukraine wakulima wangano na alzeti.
Nataka niweke wazi kuwa vita ni kitu cha kutisha sana kama hujawahi hata kupambana na nyoka au peka vita ni issue nyingine.
Najaribu kudadisi wanaume wa Ukraine wamewezaje kumudu mapigo kutoka kwa jeshi kubwa na bora zaidi duniani kuwahi kutokea.
Inawezekana wanaume wa ukraine wakawa ni miongoni mwa watu majasiri zaidi duniani.
Vita ina matukio ya kutisha, kama vifo, kutekwa, na kupewa amri za hovyohovyo zinazoweza kuchukua maisha ya askari wengi.