Battle analysis: Wapiganaji wa Ukraine ni mfano halisi wa uzalendo uliotukuka

Battle analysis: Wapiganaji wa Ukraine ni mfano halisi wa uzalendo uliotukuka

Bado hujakoma tu na hizi picha zako zinazoelea hewani bila source? Nilidhani baada ya kutuletea zile picha za Sniper kuuwawa na ukaja kuumbuka ungeacha hii tabia ya uongo.
Sniper kaponea michwari watu walisha jua ni mzoga
 
Najaribu kudadisi wanaume wa Ukraine wamewezaje kumudu mapigo kutoka kwa jeshi kubwa na bora zaidi duniani kuwahi kutokea.

Umeuliza kama hapo juu: Jibu ni kwamba unaowaita kama wanaume wa ukraine ni kwamba wamewezeshwa sana na nchi za NATO tokea 2014!! Wewe unaiona ni ukraine lakini kusema ukweli hiyo ni NATO!! Silaha karibuni zote alizokuwa nazo ukraine ziliangamizwa siku za mwanzo kabisa za uvaminzi!! Hivi unafikiri kama siyo NATO kuendelea kuwapatiia silaha ukraine saa hii tungekuwa bado tunasikiliza habari za vita? Kama siyo NATO kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Urusi zaidi ya 6000 mambo yangekuwaje?? Hivyo vikwazo alivyowekewa urusi si vya kitoto hata nchi za magharibi zinashindwa kuelewa Urusi imehimili vipi??

Kusema ukweli picha halisi ni kwamba Mwanaume mmoja (Urusi) akiwa amefungwa kamba miguuni (vikwazo zaidi ya 6,000 vya kiuchumi) amewezaje kupigana na mwanaume anayesaidiwa wanaume zaidi ya 30 kwa wakati mmoja?
 
Tuambizane ukweli: Kama marekani angepigana na Iran leo, halafu Marekani asisaidiwe na nchi yoyote lakini akiwa amewekewa vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 6,000, wakati huo huo Urusi, China, India, Pakistan, korea ya kaskazini , Brazil, na nchi zote za kiarabu na asia zinaipatia Iran silaha na pesa, je Marekani angetoboza?
 
Jeshi la Urusi linaipigania dunia
Anaungwa mkono na nani Russia? Nchi gani duniani imetangaza kuwa wako upande wake?
Russia bwege tu hana support yoyote ya nchi yeyote duniani hata Tanzania tumeufyata kama nchi hatuonyeshi support kwa mrusi
 
Unataka tuweke mizoga ya askari wa Russia, wengine wanakuwa abandoned kuframe ukweli unaoendelea front line. Vijana wamepambania nchi yao, kama kufa wamekufa kwa ajiri ya nchi yao.

Weka ya warusi tuone
 
Nilichojifunza humu watu wanawachukulia poa Wataleban kiasi Cha kuwaona waukraine mashujaa wa mfano.

Wanafikiri Graveyard Of Empire Ile nchi ilipewa bure bure tu.

Ukiitoa Mongolia empire na kiongozi wake Genghis Khan hakuna miliki nyingine iliyoweza kuhimili hawa jamaa.

Tuanze na Mwingereza na kilichompata huko Afghanistan kumbuka alibanduliwa mara mbili.

Akaja Msoviet na yeye akakutana na kisanga, Sasa hivi walikuwa Mujahideena waliokuwa wanafadhiliwa na CIA.

Na kiongozi wao alikuwa anaitwa Shujaa Osama bin Laden, huyu jamaa alikuwa amepata mafunzo yao na kuwa jasusi mbobevu wa kutumainiwa ndani ya CIA ili akamvuruge Msoviet.

Kumbuka Mrusi huwa analipa hapa hapa duniani angalia kilichotokea [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Baada ya September 2011, Marekani akaingia Afghanistan kwa pretext ya kwenda kumkamata Osama na kutokomeza Ugaidi.

Kama kawaida ya Mrusi, baada ya utawala wa Taleban kuludi milimani, ndio akaanza kuwafaund Wataleban siraha hivyo kufanya Mmarekani na washirika wake kuvuja damu kwa muda wa miaka 20,
Mpaka wanataka kuondoka walibakia tu kwenye miji[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].
Hivyo hii vita walishindwa kabla hawajatafuta namna ya sababu ya kutoka.

Ajabu ni kwamba Osama alikuwa ni raia wa saudia na Marekani.

Na ndege zilizotumika zilitoka Qatar nafikiri na Ile falsafa ya wahabism ipo Saudia lakini alilivamia Taifa jingine na kuondoa utawala wake.

Wapashtun wa Afghanistan ni mashujaa kweli kweli maana hakuna Taifa kubwa wasilopigana nalo ulimwenguni na mwisho wao huibuka Mashujaa.
 
Anaungwa mkono na nani Russia? Nchi gani duniani imetangaza kuwa wako upande wake?
Russia bwege tu hana support yoyote ya nchi yeyote duniani hata Tanzania tumeufyata kama nchi hatuonyeshi support kwa mrusi
Hii nayo unapinga ukiwa sawasawa kichwani au ndio tayari
JamiiForums-1115990570.jpg
 
Back
Top Bottom