Battle analysis: Wapiganaji wa Ukraine ni mfano halisi wa uzalendo uliotukuka

Battle analysis: Wapiganaji wa Ukraine ni mfano halisi wa uzalendo uliotukuka

Tatizo la Taliban walikuwa ni extremists, ndio maana walikukosa uungwaji mkono mkubwa though waliwapa challenge wamerekani na washirika wao. Logically, waafighanistan sio pushover kama tulivyo sisi maana mjahidini alichomfanyia urusi hatakuja asahau. My opinion regarding this matter, Taliban wako after dini sana na ukraine wako after nchi yao ndio maana askari wengi wakujitolea wako front kulinda status ya nchi yao
Eti watu wako ktk nchi yao mnawaita extremists, mkiambiwa nyinyi ni vilaza huwaga mnakasirika na kutoa povu
 
Eti watu wako ktk nchi yao mnawaita extremists, mkiambiwa nyinyi ni vilaza huwaga mnakasirika na kutoa povu
Acha matusi dogo, haya nimaoni tu sio facts kwa hiyo kama una argue leta hoja sio kuita wenzako vilaza. Watu wanaofika jeshini ngazi za afisa wanajifunza military doctrine ili kuongoza na kutoa amri sahihi. Uongozi wa Taliban ulikuwa na Sheri kali ( sharia laws ) za kislam. Tumeona wanawake wakichapwa viboko na kupigwa mawe mpaka kufa hata utawala wao wa sasa bado una elements zilezile au huelewi extremism.
 
Hawa pro Marekani ni vilaza sana
Wewe jamaa unaita wenzako vilaza bila kuonesha mchango wako huo ni ukilaza pia. Ili kuonesha mwenzako kukosea leta hoja zako watu wazisome na kuzichambua sio kulipuka na mihemko umezaliwa wapi ww
 
Ivi mtawapangiaje nchi yao??? Yaani kwamfano sisi Tanzania eti tuwapangie Marekani juu ya sheria ya umilikiji silaha kwa sababu sisi hatuna sheria hio

Ile ni nchi yao, we don't have right ya kuwapangia nn cha kufanya, leo mtu yuko katika nchi yake, Ardhi yake anashika silaha kwa kuwa magaidi ya kizungu yameshauwa familia yake yote alaf mtu huyo kujilinda unaenda kumwita extremist ?? Hivi inaingia akilini ?? Acheni ugaidi kwa kuuwa watu nchi za watu alaf yanapofanyika hayo upande wa pili mnawaita mashujaa tena ni miNazi iliotumwa kutoka ktk nchi mbalimbali
 
Wewe jamaa unaita wenzako vilaza bila kuonesha mchango wako huo ni ukilaza pia. Ili kuonesha mwenzako kukosea leta hoja zako watu wazisome na kuzichambua sio kulipuka na mihemko umezaliwa wapi ww
Kila kitu kiko wazi, bora sometimes mnyamaze kimya, uzuri haya mambo Mungu sometimes hulipa hapahapa
 
"Salamu kutoka Jesh la Urusi. Tunajua kila kitu"

Ni ujumbe Uliotumwa kwa mawasiliano ya Radio kwenda Kwenye commanding centre ya jesh la Ukraine iliyopo kusini (n.p. Novy Bug) kabla haijaripuliwa na makombora. https://t.co/ay30F7Xw9M
 
Mjini Kiev, Kumeanza kusambaa vipeperushi vyenye maandishi, "Zelensky ni msaliti wa Azov. Na atawasaliti na nyinyi pia."

Bila shaka Washirika wa Azov watamgeukia Zelensky muda si mrefu na ndyo utakuwa mwanzo wa mapinduzi makubwa nchini Ukraine. https://t.co/CLkhJgXlWy
 
1/2 mwanajeshi wa Marekani amewashauri ma mluki wanaotaka kwenda kupigana vita na Urusi upande wa majeshi ya ukrain,kusitisha mpango huo mara moja kwasababu malengo yao yatakwenda kinyume na matarajio yao.
Ameongoza kuwa Jeshi la Urusi ni moja ya jeshi lenye nguvu saana duniani.
 
Ivi mtawapangiaje nchi yao??? Yaani kwamfano sisi Tanzania eti tuwapangie Marekani juu ya sheria ya umilikiji silaha kwa sababu sisi hatuna sheria hio

Ile ni nchi yao, we don't have right ya kuwapangia nn cha kufanya, leo mtu yuko katika nchi yake, Ardhi yake anashika silaha kwa kuwa magaidi ya kizungu yameshauwa familia yake yote alaf mtu huyo kujilinda unaenda kumwita extremist ?? Hivi inaingia akilini ?? Acheni ugaidi kwa kuuwa watu nchi za watu alaf yanapofanyika hayo upande wa pili mnawaita mashujaa tena ni miNazi iliotumwa kutoka ktk nchi mbalimbali
Aggression haukubariki upande wowote, sio mabeberu wala wajamaa wa Asia. Ndio maana mjahidini walipambana vigorously na Russia mpaka wakatimua mbio kutoka kwenye ardhi ya watu. Tatizo nikwamba tukiwasifia ukraine wachache mnahisi kwamba tunasupoti mabeberu huko nikukariri. Uonevu sio jambo la kushabikia kwani victim wakubwa ni innocent
 
Yaani naangaliaga badhi ya video zao jamaa hawana hata hofu. kama vile kifo kwao si ishu.
Wananchi wengine hata kuondoka nchini mwao wamegoma wengine wanarudi.
Ila kiukweli wao wenyewe wanamkubali sana Rais wao inaonekana.
Kwamawazo yako ulitegemea wananchi wote wataikimbia nchi yao!!?
Hebu tutajie taifa moja tu ambalo wananchi hawakua wazalendo kiasi cha wote wakakimbia nchi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taliban walikuwa wanamuhifadhi Osama bin Laden na Al-Qaeda yake ambao walijatamba kufanya shambulizi la September 11 2001 huko Marekani na mashambulizi mengine mengi ya kigaidi duniani. Unataka hao waitwe mashujaa sawa na Wa-Ukraine ambao hawajamchokoza yeyote bali ameibuka mwendawazimu mmoja huko na kuanza kwalipua?
Be serious.
UKRAINE wanawafadhili wanazi wenye misimamo yakufurutu ada
Hawa na hao unaowataja pengne kamawamepishana ni lugha tuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha matusi dogo, haya nimaoni tu sio facts kwa hiyo kama una argue leta hoja sio kuita wenzako vilaza. Watu wanaofika jeshini ngazi za afisa wanajifunza military doctrine ili kuongoza na kutoa amri sahihi. Uongozi wa Taliban ulikuwa na Sheri kali ( sharia laws ) za kislam. Tumeona wanawake wakichapwa viboko na kupigwa mawe mpaka kufa hata utawala wao wa sasa bado una elements zilezile au huelewi extremism.
Utawala wa US unaoruhusu ndoa zajinsia moja unasheria nyepesi!!!?
Nyie watu bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila taifa lina tunu zake ambazo kimsingi ndio kimsingi ndio nguzo na uhai wa taifa husika. Logically speaking, najivunia kuwa mtanzania kwani tumebarikiwa kuwa na tunu ya amani na upendo miongoni mwetu.

Kutokana na uwepo wa propaganda nyingi watu wengi wamekuwa blinded na aggressive traits za warusi kiasi cha kuvamia na kuharibu maisha ya jirani zake ukraine wakulima wangano na alzeti.

Nataka niweke wazi kuwa vita ni kitu cha kutisha sana kama hujawahi hata kupambana na nyoka au peka vita ni issue nyingine.

Najaribu kudadisi wanaume wa Ukraine wamewezaje kumudu mapigo kutoka kwa jeshi kubwa na bora zaidi duniani kuwahi kutokea.

Inawezekana wanaume wa ukraine wakawa ni miongoni mwa watu majasiri zaidi duniani.

Vita ina matukio ya kutisha, kama vifo, kutekwa, na kupewa amri za hovyohovyo zinazoweza kuchukua maisha ya askari wengi.

Pole sana, hakuna cha kuiga mfano hapo. Ungejua wanakufa usinge ongea haya. Mamluki na wanajeshi wa Ukraine wanauliwa sana.
 
Pole sana, hakuna cha kuiga mfano hapo. Ungejua wanakufa usinge ongea haya. Mamluki na wanajeshi wa Ukraine wanauliwa sana.
Unataka tuweke mizoga ya askari wa Russia, wengine wanakuwa abandoned kuframe ukweli unaoendelea front line. Vijana wamepambania nchi yao, kama kufa wamekufa kwa ajiri ya nchi yao.
 
Ukitukana haimaanishi unaelewa sana ila ni kukosa maadili na malezi mabaya ya wazazi wako. Kukusaidia rafiki yangu, operation ni lengo mama ambalo wanapatiwa askari wanaoenda mstari wa mbele kwenda kulitimiza ila kinachotokea kwenye front line ndio vita ( battle ). Jwtz wamefanya operation nyingi ikiwemo operation chakaza ( vita ya kagera ) operation kumekucha ( vita ya msumbiji kumuondoa mreno, operation democratic ( kumuondoa kanali bakari. Russia walienda ukraine kulinda amani kwenye separatist regions na kuvunja nguvu ya kijeshi ambayo waliona sio salama kwao ila kinachotokea mstari wa mbele ni vita kama ( the battle of kivy ). Operation inaweza kukamilika haraka au lah! kutokana na weledi wa vikosi vilivyotumwa kutekeleza majukumu.
Ile ya Ukraine na Urusi kwa sasa ni vita kamili, yawezekana mwanzoni lengo halikuwa hilo. Zile za Kongo, sudani na kwingineko ni operesheni tu za kulinda amani na kuhakikishha huduma za msingi kama chakula na afya zinawafikia walengwa
 
Back
Top Bottom